Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakumbuka wakati ule wa mlipuko wa Covid-19 vilaza kina Uhuru Kenya walivyokurupuka na Lockdowns, kisa tu Uingereza ametangaza Lockdown na wako desperate na hela za msaada za imf. Pasi na kuzingatia kuwa Kenya ni Nchi fukara ya ulimwengu wa tatu.
Wakashangaa waja hatuna ujinga wa lockdown na tunadunda tu 😀😀😀
Zile pesa za Covid-19 zilitajirisha sana wanasiasa wa Kunya .
Hawa wapumbavu eti lockdown inaanza jioni hadi asubuhi! Wakati muda huo wengi wanakuwa nyumbani eti ndio lockdown wakati mabwana zao waliowatuma wanapiga lockdown 24hrs.
 
To have a family You must have food ,
Hapo Kunya Milo mitatu ni Luxury, mko mafukara sana , unakuta mtu hajala msosi wa kueleweka three days ila anaongea kingereza kibovu chenye mchanganyiko wa kiluhya 😀
Familia hadi wendawazimu wako nazo, wewe tuambie what you have achieved in life.

Alafu food gani unaongelea? Mihogo ama? Whatever I eat is enough to feed you together with your desperate family for a year.

Kama wewe ni man enough tuambie ni nini umeachieve ya maana in this world, sio kelele za ujinga.
 
Ironically, a big chunk of those remittances comes from Tanzania 😁
Wewe unakuanga fala sana, please remind us again your level of education. Did you attend even a Kindergarten School?

Tanzania doesn’t even account for 0.00000000001% of our remittance.
 
Si mlikuwa mnatucheka sisi na twin towers imekuwaje tena leo mnazipenda au ilikuwa wivu tuu 🤣🤣🤣
There is no day tuliwacheka kujenga Twin Towers. Kwanza ni twin towers gani mnaongelea when Tanzania only has gorofa tatu.
 
Wewe unakuanga fala sana, please remind us again your level of education. Did you attend even a Kindergarten School?

Tanzania doesn’t even account for 0.00000000001% of our remittance.

😁😁😁
 
Attachments

  • snapshot_www.thecitizen.co.tz_1734077447665.png
    snapshot_www.thecitizen.co.tz_1734077447665.png
    136.5 KB · Views: 7
Nakumbuka wakati ule wa mlipuko wa Covid-19 vilaza kina Uhuru Kenya walivyokurupuka na Lockdowns, kisa tu Uingereza ametangaza Lockdown na wako desperate na hela za msaada za imf. Pasi na kuzingatia kuwa Kenya ni Nchi fukara ya ulimwengu wa tatu.
Wakashangaa waja hatuna ujinga wa lockdown na tunadunda tu 😀😀😀
Zile pesa za Covid-19 zilitajirisha sana wanasiasa wa Kunya .
Toka lini mkenya akamiliki akili mkuu?
Watu waliouawa na police sababu ya curfew restrictions na njaa kutokana na lock down ni wengi kuliko hata wa covid propaganda
Huu upumbavu ni Kunyaland tu 😂😂😂

View: https://x.com/AJEnglish/status/1244222396162363392?t=AMHb78lv0nL-PNHv4udj4A&s=19
 
Wewe unakuanga fala sana, please remind us again your level of education. Did you attend even a Kindergarten School?

Tanzania doesn’t even account for 0.00000000001% of our remittance.
Umeumia mimi kuongea ukweli 😁
Huko kwenye elimu ndio usijaribu kabisa ni sawa na vita ya mwenye nuclear capable ICBM na mwenye portable artillery guns za 15km .😁
 
Umeumia mimi kuongea ukweli 😁
Huko kwenye elimu ndio usijaribu kabisa ni sawa na vita ya mwenye nuclear capable ICBM na mwenye portable artillery guns za 15km .😁
Hakuna elimu yoyote uko nayo. At best you can be a Primary School dropout.
 
Back
Top Bottom