Dar na Nairobi kila mmoja ana weakness na strength zake.. Afu naona picha mnazotupia humu ni ile za sehemu nzuri nzuri tuu na ziko edited balaa. Nai kuna uzuri wake, wako na shopping malls za kutosha, migahawa mingi sana na mizuriii, afu wakenya wana utaratibu mzuri sana wananunua mahitaji supermarket, so hakuna viduka duka vya mangi ile kila kona. Afu pia wako na utaratibu mzuri mnoooo wakati wa jioni kwenye kupanda manyanga (bongo tunaita daladala) , wanapanga foleni wa hakuna kugombaniana usafiri kama wendawazimu. Nairobi kuna gardens na park zenye space ya kutosha zile watu wanaeza chill jua likiwakomesha after hustles za hapa na pale. Nai wana flyovers za magari na za waenda kwa miguu nyingi nyingi kiasi.
Dar kuna mradi wa RBT, kuna coco beach.
Ila all in all tukiacha ushabiki shabiki ule wa kila mwamba ngoma ngozi huvutia kwake... Nai wameipiga bao Dar kinamna flani hiviii....
No hard feelings