Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

okay nimekosa ya 2016...hii hapa ni biashara toka 2011 mpaka 2015
Kenya’s total exports to Uganda over the 2011-2015 period stood at $3.28 billion, followed by Tanzania ($1.98 billion), Rwanda ($734.93 million) and Burundi ($303.83 million). Exports to South Sudan, which was admitted to the EAC in March this year stood at $71 million.

Similarly Kenya imported the most goods from Uganda at Ksh81.57 billion ($815 million) in the same period, followed by Tanzania ($748.64 million) and Rwanda ($36.45 million).
Gap linapungua Au linaongezeka?
 
Omba omba wapo hadi USA sembuse tz??? Hahahaha jinga wewe kumbe eehh
Pwahahaha haya leta omba omba wa Kenya waliovuka border wakaingia Bongo...😀😀😀ukileta nakuheshimu...naona mko vizuri sana wabongo ila mnawauwa albino ili kutafta utajiri😀😀what do you have to say on that bro?
 
kenya mpo civilized ???? Ukabila tu ni sifa ya mtu ambae hajawa civilized completelyyyyyy hahaahaha
nyie ndo mpo civilized sio? ila mnawauwa albino kwa mambo ya ushirikina...😀😀😀naona mpo civilized sana...bongolala wenzako wanaongoza kwa uchawi na uganga duniani...nashuku wewe hapo mchawi by profession😀😀
 
Pwahahaha haya leta omba omba wa Kenya waliovuka border wakaingia Bongo...😀😀😀ukileta nakuheshimu...naona mko vizuri sana wabongo ila mnawauwa albino ili kutafta utajiri😀😀what do you have to say on that bro?
Cha kwanza watanzania hatuna jadi ya kufatilia huyu omba omba wa wapi au kabila gan au katoka nchi gani kwasababu cio jadi yetu kufwatilia ujinga huo so cwez jua ombaomba wa kenya mpo wangapi afu cina mda wa kufwatilia jambo ka hilo. Pili mauaji ya albino yanahusika na ushirikina na hiyo ni sifa ya mtu binafsi coz hata kenya washirikina wapo bt cwez sema wakenya wote washirikina sababu ya jaluo moja imeua mtu kutaka utajiri...kifupi huwez generalize ushirikina ni tabia ya mtu na mtu
 
washirikina wa dunia...hapo mmehitimu bro😀😀vipi kuhusu daktari wa Loliondo?😀😀
 
juice zipi....delmonte juice ziko sawa sana..usije ukawa umekunywa juice aina moja kisha unasema juice za kenya zinazingua
Bidhaa zenu nyingi ziko kask uku Pwani ni chache sana siunajua Dar kuna factory mob
 
washirikina wa dunia...hapo mmehitimu bro😀😀vipi kuhusu daktari wa Loliondo?😀😀

So loliondo uliona kuna ushirikina pale au uliona watu wanachoma tunguli ????nigga ur so dumb mbonA vtu vngne vya kujiongeza tuuu bra hahahah
 
Tumiaga akili muda mwingne hata kidogo tuu ...nmekwambia tz ya kwenye takwimu sio tz tunayoishi hujiulizi y mnaingiza hela yote hiyo ka si ni maskin ka usemavyo ???jiongeZe muda mwingine usijishushie heshima anko
explain this to me bro😀😀
Africa-UN.jpg
 
Maneno ya slay queens wa nai achana nayo.....wale wa ..." oh my gosh aki I can't ongea kiswahili"....."I never somad kiswahili in school"
. Afu Nai mnakula mchele wa plastiki haki.ule mchele wenu wa Thailand sijui china sijaweza kuuweza. Uko tasteless. Kwa hili bongo tumepiga bao lol bkngo tunakula wali mtraamu balaa
 
Maneno ya slay queens wa nai achana nayo.....wale wa ..." oh my gosh aki I can't ongea kiswahili"....."I never somad kiswahili in school"
Kuna demu mmoja wa 254 kipindi flan nikiwa Moro kwenye shughul zangu za kitaaluma Nilikua nae pale basi ndio kujifanya anatema sana yai na kukandia wabongo hawajui Yai,
Nikamwambia sasa kwani mi m254 mwenzio mbona unaniletea gossip ambazo zipo wazi2...je wewe unaweza nyoosha kisw kama wao? Hakua anaweza sana kisw. ..
Mnapenda sana kujifunua na kizungu kazeni na kisw pia
 
Back
Top Bottom