Simba alishindwa kazi na Gor walishindwa kumlipa alicho demand... hizo nyingine ni porojo!alitoka kwa hiari yake na wala hakushurutishwa!
usilete riwaya na tamthilia nyingi hapa to prove nothing. anyway Sserunkuma sio mtu wa kutolea mfano wowote kuhusu kuhama kwake sababu hatulii pahali pamoja. Alihamia kwote huko baadae akarudi Kpl na kutaka kujiunga na Gor Mahia lakini hakukuwa na nafasi. bali alipata kuichezea Bandari F.C ya Kpl. Kwa sasa yuko Morocco
Mbona niingie JF kukasirika ilhali Mtanzania pia ni ndugu his veins running with black blood kama yangu. Maendeleo Africa ni advantage kwetu site kama WaAfrica.Duuuu siamin hayo maneno umeandika wewe hahahaha ....nahisi leo umelala na demu mkali sana asee sio kwa mood nzur hii ulonayo leo...hongera atleast leo umeongea ukwel
sijaelewa point yako vizuri tafadhaliPande ya barabara Tz imeanguka however they are doing well on other sectors and with time watukuwa middle income pia.
kwa tanzania ni cheap kwasababu ya ushindani mkali wa azam tvDSTV ni around 7300 sawa na Tsh.153,000 per month(Premier)
Pia hapa kuna ushindani mkubwa kutoka kwa GOTV.kwa tanzania ni cheap kwasababu ya ushindani mkali wa azam tv
kaka ni kama ulikuwa unatembea kwenye akili yangu...nilitaka nianze kuelezea hayo uliyoyaeleza.Kweli mkuu.. unajua nchi yenye uchumi mkubwa inabidi hi dominate sector mpka za michezo na burudani. Sasa hapa E.A ni tofauti.
Early this year Azam wali visit Rwanda for a pre season, waandishi wa habari wa Rwanda waka omba kujua what Rwanda can do to so as league yao iwe level ya VPL, na wana watch VPL sana. Their long time captain and arguably best player ever Niyonzima amecheza bongo kwa takribani miaka 7 na amefanya maendeleo makubwa kwao mpaka una eza uka hisi anacheza Europe.
Burundi's best Mavugo and Tambwe wote wapo Bongo na wana lipwa pesa nzuri sana. Gari analo endesha Tambwe ata waziri wa Burundi ana tetemeka.
Uganda's Ronaldo.. okwi this is according to Micho ex Ugandan national team coach yupo Bongo anakula mshahara sawa na mbunge.
Singida united imepanda premier leaugue this season ina players kotoka Zimbambwe, Rwanda, Burundi and Zambia ambao wako national teams.
Jesse were.. Kenyan international, Zambia's premier league top scorer next season ana sign Simba.
annael utafanya watu wakane uraia wa kwao wawe watanzania.

Huku Azam alitemwaGor Mahia's midfielder Jeane Baptiste Mugiraneza says Kenya's playing standards are far above Tanzania.
The midfielder joined Gor Mahia in the beginning of the season after his contract with Azam FC of Tanzania had expired.
Gor Mahia midfielder: Kenya is above Tanzania | Goal.com
inaonekana roho inakuuma sana kwa azam kupenya soko la kenya.pole sana dogo.Sportpesa is sponsoring teams in tz,south A ,UK na tumenyamaza....Azam gets rights to air a one week tournament and kadoda becames so happy that he cums on his pants
Tazara Railway by indaressalaam, on Flickr
Tazara Railway by indaressalaam, on Flickr
Trip to Selous Game reserve by indaressalaam, on Flickr
Boarding Tazara Train by indaressalaam, on Flickr
Boarding Tazara Train by indaressalaam, on Flickr
Boarding Tazara Train by indaressalaam, on Flickr
Boarding Tazara Train by indaressalaam, on Flickr
Trip to Selous Game reserve by indaressalaam, on Flickr
Trip to Selous Game reserve by indaressalaam, on Flickr
Trip to Selous Game reserve by indaressalaam, on Flickr
Tazara railway station by indaressalaam, on FlickrAzam haijapenya ..ata Bamba TV iko juuinaonekana roho inakuuma sana kwa azam kupenya soko la kenya.pole sana dogo.![]()
hiyo kauli kawaambie KOT uone vile watakujibu.
tukutane cecafa next two seasons.Azam haijapenya ..ata Bamba TV iko juu

Churchill ukuje huku... Kuna mutu pande hii ...mwaswat..Pande ya barabara Tz imeanguka however they are doing well on other sectors and with time watukuwa middle income pia.