Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli mkuu.. unajua nchi yenye uchumi mkubwa inabidi hi dominate sector mpka za michezo na burudani. Sasa hapa E.A ni tofauti.

Early this year Azam wali visit Rwanda for a pre season, waandishi wa habari wa Rwanda waka omba kujua what Rwanda can do to so as league yao iwe level ya VPL, na wana watch VPL sana. Their long time captain and arguably best player ever Niyonzima amecheza bongo kwa takribani miaka 7 na amefanya maendeleo makubwa kwao mpaka una eza uka hisi anacheza Europe.

Burundi's best Mavugo and Tambwe wote wapo Bongo na wana lipwa pesa nzuri sana. Gari analo endesha Tambwe ata waziri wa Burundi ana tetemeka.

Uganda's Ronaldo.. okwi this is according to Micho ex Ugandan national team coach yupo Bongo anakula mshahara sawa na mbunge.

Singida united imepanda premier leaugue this season ina players kotoka Zimbambwe, Rwanda, Burundi and Zambia ambao wako national teams.

Jesse were.. Kenyan international, Zambia's premier league top scorer next season ana sign Simba.
Na hii hapa ktka Zimbabwe
3257f4a48ccf8dbdeca4dabd855bc822.jpg
 
kaka ni kama ulikuwa unatembea kwenye akili yangu...nilitaka nianze kuelezea hayo uliyoyaeleza.

umemaliza kila kitu.sina cha kuongeza.
wa kukuelewa wamekuelewa,wa kutoa povu watatoa ila hautabadili ukweli.
wamesha elewa... kwenye hili hamna kulumbuna, its crystal clear. Timu zina panda league kama Njombe mji na Lipuli zina sign internationals kutoka top teams in Lesotho and Ghana!! that says alot.

Wachumbuzi uchwara huwaga wana wasema wachezaji wakibongo ni wavivu kwenda kucheza nchi za majirani zetu. wana sema eti wachangamke kwenda kama wao wanavyo kuja bongo. Sasa mimi huwaga najiuliza hivi ni nani ata acha malipo makubwa ili mradi aonekane ana cheza n'jee.
 
Dar na Nairobi kila mmoja ana weakness na strength zake.. Afu naona picha mnazotupia humu ni ile za sehemu nzuri nzuri tuu na ziko edited balaa. Nai kuna uzuri wake, wako na shopping malls za kutosha, migahawa mingi sana na mizuriii, afu wakenya wana utaratibu mzuri sana wananunua mahitaji supermarket, so hakuna viduka duka vya mangi ile kila kona. Afu pia wako na utaratibu mzuri mnoooo wakati wa jioni kwenye kupanda manyanga (bongo tunaita daladala) , wanapanga foleni wa hakuna kugombaniana usafiri kama wendawazimu. Nairobi kuna gardens na park zenye space ya kutosha zile watu wanaeza chill jua likiwakomesha after hustles za hapa na pale. Nai wana flyovers za magari na za waenda kwa miguu nyingi nyingi kiasi.
Dar kuna mradi wa RBT, kuna coco beach.
Ila all in all tukiacha ushabiki shabiki ule wa kila mwamba ngoma ngozi huvutia kwake... Nai wameipiga bao Dar kinamna flani hiviii....
No hard feelings
 
asante kwa maoni yako mkenya😀😀😀😀😀
 
emoji106.png
emoji106.png
emoji106.png
umenena mkuu
 
QUOTE from mommythebest .mtanznia wa kweli huyu.....Dar na Nairobi kila mmoja ana weakness na strength zake.. Afu naona picha mnazotupia humu ni ile za sehemu nzuri nzuri tuu na ziko edited balaa. Nai kuna uzuri wake, wako na shopping malls za kutosha, migahawa mingi sana na mizuriii, afu wakenya wana utaratibu mzuri sana wananunua mahitaji supermarket, so hakuna viduka duka vya mangi ile kila kona. Afu pia wako na utaratibu mzuri mnoooo wakati wa jioni kwenye kupanda manyanga (bongo tunaita daladala) , wanapanga foleni wa hakuna kugombaniana usafiri kama wendawazimu. Nairobi kuna gardens na park zenye space ya kutosha zile watu wanaeza chill jua likiwakomesha after hustles za hapa na pale. Nai wana flyovers za magari na za waenda kwa miguu nyingi nyingi kiasi.
Dar kuna mradi wa RBT, kuna coco beach.
Ila all in all tukiacha ushabiki shabiki ule wa kila mwamba ngoma ngozi huvutia kwake... Nai wameipiga bao Dar kinamna flani hiviii....
No hard feelings [/QUOTE]
kadoda11 ichoboy01 tuusan NDINDA TEMLO DA VINCA
 
QUOTE="mommythebest ...Dar na Nairobi kila mmoja ana weakness na strength zake.. Afu naona picha mnazotupia humu ni ile za sehemu nzuri nzuri tuu na ziko edited balaa. Nai kuna uzuri wake, wako na shopping malls za kutosha, migahawa mingi sana na mizuriii, afu wakenya wana utaratibu mzuri sana wananunua mahitaji supermarket, so hakuna viduka duka vya mangi ile kila kona. Afu pia wako na utaratibu mzuri mnoooo wakati wa jioni kwenye kupanda manyanga (bongo tunaita daladala) , wanapanga foleni wa hakuna kugombaniana usafiri kama wendawazimu. Nairobi kuna gardens na park zenye space ya kutosha zile watu wanaeza chill jua likiwakomesha after hustles za hapa na pale. Nai wana flyovers za magari na za waenda kwa miguu nyingi nyingi kiasi.
Dar kuna mradi wa RBT, kuna coco beach.
Ila all in all tukiacha ushabiki shabiki ule wa kila mwamba ngoma ngozi huvutia kwake... Nai wameipiga bao Dar kinamna flani hiviii....
No hard feelings
kadoda11 ichoboy01 tuusan NDINDA TEMLO DA VINCA[/QUOTE]
Mbona hilo la barabara daily tunakubali kua mpo gud bt mjue hatujalala tunakuja kwa kasi ya kimondo
 
Back
Top Bottom