Duuh!! yani ume acha miaka yote uka amua kurudi nyuma mpaka 2011!! Just because it suits your small ideaKenya’s total exports to Tanzania in 2011 were valued at Kshs. 41.05 billion as compared to Kshs. 33.21 billion in 2010. The major exports to Tanzania in 2011 included Kshs. 3.07 billion worth of Palm oil and its fractions, Kshs 2.27 billion of Soap; Kshs. 1.82 billion of Medicament mixtures; Kshs 1.81 billion Animal or vegetable fats; Kshs 1.74 billion Flat rolled products of iron; Kshs. 1.37 Sugar confectionery; Kshs 1.35 billion Aluminium table and household articles; Kshs. 1.07 billion of Margarine.
Kenya’s imports from Tanzania were valued at Kshs. 15.58 billion in 2011 an increase from Kshs 10.55 billion in 2010. Major import products from Tanzania that dominated in 2011 included Furnishing articles, Paper and paperboard, Maize, Electric transformers, Textiles, Rice, Animal products, Tubes and pipes Flour and meals of oil seeds & Vegetables among others.
EPC Kenya
Tanzania becomes Kenya's largest East Africa market | TradeMark East Africa

hata ya 2016 ipo...infact ungeshukuru hio ya 2011 kwa sababu ni afadhali...hii ya 2016 ni aibu tupuDuuh!! yani ume acha miaka yote uka amua kurudi nyuma mpaka 2011!! Just because it suits your small idea![]()
![]()
![]()
yap pia ya 2016 ikoAnd that is couple of yrs ago...
Would you plz bring the up to date report?
Ulitaka kuandika Lugha gani?[Msee ukweli imekuuma sana unaeza jiharia
Weka apa nione...tumepunguza sana kuagiza bidhaa kadhaa nje...yap pia ya 2016 iko
Tumekua soko lenu coz tuna hela na sio maskini ka mnavyobonga ...huwez ingiza hela yote hiyo ka mteja hana uwezo boya wewe ... Sasa ndio mjue kua tz majority wako vizur kuliko nyieehata ya 2016 ipo...infact ungeshukuru hio ya 2011 kwa sababu ni afadhali...hii ya 2016 ni aibu tupu
okay nimekosa ya 2016...hii hapa ni biashara toka 2011 mpaka 2015Weka apa nione...tumepunguza sana kuagiza bidhaa kadhaa nje...
ila ile sabuni yenu ya mche ya jamaa naitumia hadi leo hua inanibamba
upuuzi tu...Tanzania hamna chochote...Kenya ndio kusema ukanda huu kwa biashara, uchumi na mambo yote period...usisahau Kenya is the only EA country not regarded as LDC 😀😀 woooi poleni manduguTumekua soko lenu coz tuna hela na sio maskini ka mnavyobonga ...huwez ingiza hela yote hiyo ka mteja hana uwezo boya wewe ... Sasa ndio mjue kua tz majority wako vizur kuliko nyiee
naona mpo vizuri kwel kweli😀😀😀 ila omba omba wenu wamejaa jijini Nairobi wakitafta riziki😀😀😀Tumekua soko lenu coz tuna hela na sio maskini ka mnavyobonga ...huwez ingiza hela yote hiyo ka mteja hana uwezo boya wewe ... Sasa ndio mjue kua tz majority wako vizur kuliko nyiee
of course we are very civilized in Nairobi......from dressing code to behaviour.......Hata hawa watanzania wenzako wakija Nairobi watastaarabika vilivyo.....ila chunga mfuko wako time ya rush hours....hahahaDar na Nairobi kila mmoja ana weakness na strength zake.. Afu naona picha mnazotupia humu ni ile za sehemu nzuri nzuri tuu na ziko edited balaa. Nai kuna uzuri wake, wako na shopping malls za kutosha, migahawa mingi sana na mizuriii, afu wakenya wana utaratibu mzuri sana wananunua mahitaji supermarket, so hakuna viduka duka vya mangi ile kila kona. Afu pia wako na utaratibu mzuri mnoooo wakati wa jioni kwenye kupanda manyanga (bongo tunaita daladala) , wanapanga foleni wa hakuna kugombaniana usafiri kama wendawazimu. Nairobi kuna gardens na park zenye space ya kutosha zile watu wanaeza chill jua likiwakomesha after hustles za hapa na pale. Nai wana flyovers za magari na za waenda kwa miguu nyingi nyingi kiasi.
Dar kuna mradi wa RBT, kuna coco beach.
Ila all in all tukiacha ushabiki shabiki ule wa kila mwamba ngoma ngozi huvutia kwake... Nai wameipiga bao Dar kinamna flani hiviii....
No hard feelings![]()
Tumiaga akili muda mwingne hata kidogo tuu ...nmekwambia tz ya kwenye takwimu sio tz tunayoishi hujiulizi y mnaingiza hela yote hiyo ka si ni maskin ka usemavyo ???jiongeZe muda mwingine usijishushie heshima ankoupuuzi tu...Tanzania hamna chochote...Kenya ndio kusema ukanda huu kwa biashara, uchumi na mambo yote period...usisahau Kenya is the only EA country not regarded as LDC 😀😀 woooi poleni mandugu
😛yaani mnaitwa 4th world countries hata sio 3rd world
Fourth World: Least Developed Countries And A Look At Their Economy
![]()
Hahaha unapiga mitanzania mia moja mijeledi kwa mpigo........yap pia ya 2016 iko
Pwahahaha nilijua tu utamwaga hasira...haya niambie kama hizi ni takwimu...😀😀😀Tumiaga akili muda mwingne hata kidogo tuu ...nmekwambia tz ya kwenye takwimu sio tz tunayoishi hujiulizi y mnaingiza hela yote hiyo ka si ni maskin ka usemavyo ???jiongeZe muda mwingine usijishushie heshima anko
naona mpo vizuri kwel kweli😀😀😀 ila omba omba wenu wamejaa jijini Nairobi wakitafta riziki😀😀😀
hehe hawa hakuna kitu wanaza tushinda...it is becoming too easyHahaha unapiga mitanzania mia moja mijeledi kwa mpigo........
Wadada wa Nairobi wanavaa nguo fupi balaa lolof course we are very civilized in Nairobi......from dressing code to behaviour.......Hata hawa watanzania wenzako wakija Nairobi watastaarabika vilivyo.....ila chunga mfuko wako time ya rush hours....hahaha
. Bongo huwezi kuta hiyo kitukenya mpo civilized ???? Ukabila tu ni sifa ya mtu ambae hajawa civilized completelyyyyyy hahaahahaof course we are very civilized in Nairobi......from dressing code to behaviour.......Hata hawa watanzania wenzako wakija Nairobi watastaarabika vilivyo.....ila chunga mfuko wako time ya rush hours....hahaha
Panic at your own riskUandishi wako tu unaonyesha wazi wewe ni Mkazi wa Kibera kule Wanakoishi wakimbizi Raia
Wakenya halisi,
wewe si Mtanzania
Hivyo ficha Upumbavu wako
