Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dstv licha ya kwamba ni ghali,hapa tz watanzania na u-LDC wetu tunaitumia na hatulalamiki.

mimi kwangu nina decoder mbili,nina ya azam tv na dstv and life goes on as usual like i'm not a citizen of an LDC country.
na by the way dstv imeshuka bei sana tanzania baadakupata ushindani mkali kupitia azam tv
 
bongo
IMG_0118.JPG
 
but Dstv now has a WiFi router as part of its incentive to win back customers........kama azam haitachangamka itabidi nitafute tu Dstv.....
 
na by the way dstv imeshuka bei sana tanzania baadakupata ushindani mkali kupitia azam tv
bakhresa mtu mbaya sana....ameinyorosha vibaya sana dstv kiasi cha kufikia hatua ya kufanya PA mtaani na kusambaza vipeperushi mabarabarani kama vile makampuni ya vilevi, kitu ambacho hapo awali walikuwa hawafanyi.

yule mpemba siyo wa mchezo mchezo.
 
wewe imagine dstv tanzania imeshuka bei mpaka elf 79 tsh tena wanabembeleza ununue 😀😀😀

azam tv ndio kiboko ya east and central africa, RIP zuku
 
but Dstv now has a WiFi router as part of its incentive to win back customers........kama azam haitachangamka itabidi nitafute tu Dstv.....
buda mimi huwa sina shaka na owners wa azam tv...ni watu wasikivu sana...na wanajua ushindani uliopo katika biashara ya paytv.

Wi-Fi router ni jambo dogo sana kwao.
 
Back
Top Bottom