Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha maneno mengi, just show us any building under construction in Dar with 20 floors and above. Mimi Usiniandikie insha, just post the picture and save us time.
Unazani mimi ni jobless kama wewe. Muda utafika utawekea. Siishi maisha ya kubatisha na ratiba. Tulia utawekewa.
 
Wa Congo na watu wa wivu sana kimaisha kama kunyaland... Madereva wa Tanzania wanapata changamoto sana uko... Uko semi zinapigwa sana mawe sio tu za watanzania hadi za Zambia...
Huyu mbwa Teargas anashangilia as if Kule South Sudan madereva wao hawauwawi!

Mbwa mwenzie anaulizia trucks za Ukunyani as if there any! Mambo ya propaganda za Kundustan ina magari mengi! 👇🏿

View: https://x.com/NationBreaking/status/1429791404583182343



View: https://x.com/KhalifKairo/status/1589897113957122048



View: https://x.com/loddca/status/1788645970734920152
 
Option ya Uganda via Mutukula mipango mlikuwa mnaweka nyie hapa JF lakini sio mipango ya serikali. Mpango wa serikali ni ku serve route ya Uganda from lake victoria.
Hilo nginjanginja litachukua 2 days kufika malaba at 80kph then half a day to Kampala at most the whole trip will use 3 days Mombasa to Kampala.

Tz sgr 7 hours to mwanza from Dar port then overnight to Port Bell hardly 24 hours.
Mganda anachotaka ni alternative route na kwenye efficiency hata ukifikisha sgr Kampala halazimiki kuitumia
 
Huyu nimemwambia aweke vifusi vyake vyote akimaliza ipo siku nitaingia either kariakoo au Upanga nimuonyeshe Nini maana ya ujenzi.... Anatuletea mambo ya skyscraper city akizani sisi ni jobless kama wao. Kazi siku zote ufanywa kimia kimia..
Mimi nipo kariakoo kila siku, i know what you are saying. Big bon sahii wako floor ya tatu. So many high rise buildings under way.
 
Unazani mimi ni jobless kama wewe. Muda utafika utawekea. Siishi maisha ya kubatisha na ratiba. Tulia utawekewa.
In short haziko, sindio?😂😂😂

Ulianza na nguvu ukisema ziko mingi unaenda kuzileta, Najua umezunguka kote ukakosa hata building moja ya 15 floors za kupost hapa let alone 20 and 30 floors😂😂
 
Back
Top Bottom