Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwan kaka unaeza niambia kwann bomba la mafuta litapita tanzania ikiwa kwa kenya wangeokoa over 250km, na unaeza niambia kwann tuliingilia deal la mkenya ikiwa hakuna vita vya kiuchumi kati ya tanzania na kenya ? na kwann tuli force sana SGR ipite bukoba kwenda uganda na tukaponda sana kupita malaba au tumesahau yote hapa??

tukubali tukatae vita tumeshindwa
Hakuna aliyeforce na kuingilia deal la bomba la mafuta mwenye mradi TOTAL ndio kaamua lipite Tanzania kwasababu muda wa utekelezaji ungekuwa mfupi na gharama nafuu pamoja na security ya mradi wao.
 
hili ni pigo kaka hata tukisema tufiche, siku zote tulikua tunafukuzia huu mradi wa uganda tena tumetumia nguvu kuuchelewesha kwa fitna leo umetuponyoka kirahisi,

anyway tuendelee kusifia tu 😂😂😂
Ni sawa mzee ila logic and rational yako ipo kama ChoiceVariable.

Hatuwezi jua mpaka Uganda afikie huko huenda upo sahihi. Ila mzee uwasilishaji wako wa mada these days ni kama sio wewe yule tuliyemzoea.

Ni kweli inafikirisha Uganda kwenda Kenya na reli yake ya Electric akaacha ya Tz ambayo Mwanza tayari inajengwa.

Let's see.
 
mzee kaa ukubali ukatae tanzania na kenya kuna vita baridi vya kiuchumi ndio maana unaona kuna ushindani sana kwenye uchumi, kama hatukua na nia ya kuonganisha reli kwenda uganda kwann tulikua tunamshawishi uganda kuunganisha na bukoba? hvi ww unafkiri reli ikikamilika hayo mafuta unayodai yatapita tanzania kwenda uganda?
That's it afadhali ungeanza na uwasilishaji huu.
 
Majority of DRC minerals ziko huko sides za Uganda and that’s where railway is heading, nyinyi itabidi mbaki tu na Burundi juu sioni mkifaulu kufika to the core of DRC minerals.
Wakumbuke their whole boundary with DRC. Is occupied by lake Tanganyika - the second deepest lake in the world.🤣
 
Bomba lingepita wapi Kenya huko maporini terrain ni mbaya hakuna njia vifaa vingesafirishwaje?
The route was short obviously but technically challenging unlike sisi pipeline route inatembea along the major nodes of transport such as roads and rail vifaa Vinafika site kwa urahisi.
According to your empty brain hakuna Barabara Kenya?🤣🤣
Uchungu usikufanye ukose akili.😂
 
Mkono wa chuma unahitajika hapa.

Hata Katarama kupigwa mawe kuna watu wanachekelea.

Bongo tuna kawaida ya kuchukulia vitu poa sababu hatupati consequences ya actions zetu. Ifike mda kila mtu awe analipwa na ujinga wake au wema wake.
Bongo washamba.
 
Bongo washamba.
I don't think so mzee. Mpaka mtu ushike jiwe kupiga kitu kama reli si mchezo na unajua kabisa ni mali ya serikali. Bila kujazwa upepo si rahisi.

Kingine ni muda sasa watu wamerelax sana yaani tukio mpaka yawe makubwa ndio wanashtuka.

Mbona kipindi cha Magufuli ukisikia tren imekwama Waziri, Mkuu wa TRC, hatunae.

Sembuse upige jiwe RPC si atakosa usingizi wiki.

Walianza Daraja la TANZANITE kunyofoa vyuma like seriously.

Ndio maana nasema it's time wazee wapewe consequences za action zao mpaka akili ikae haijalishi ni nani.

Katarama angalia polo zake zinavyopigwa mawe, kuna wengi wenye polo ila ni yeye tu apigwe mawe.
 
Hakuna mtu mwenye akili atajenga nyumba ya mlango mmojo, wakati Mombasa ni jirani zaidi wanapitisha mizigo yao mingine Dar wanajua athari za kutegemea njia moja isiyokuwa yao.
hvi unategemea mombasa to uganda kwa SGR cost yake itakua sawa na kutoa mzigo dar upeleke mwanza upakue ueke kwenye meli iende port bell tena ibebwe kwenye treni iende kampala

tusijidanganye hata kidogo tumeshindwa vita tukubali, kitu mm nashangaa kama tulijua mombasa ni karibu sana kwann tulikua tunashindana kujenga SGR through bukoba na kutumia njia mwanza to port bell, sijui tulikua tunashindania nn sasa au kwa sasa hakuna ufatiliaji??
 
Bomba lingepita wapi Kenya huko maporini terrain ni mbaya hakuna njia vifaa vingesafirishwaje?
The route was short obviously but technically challenging unlike sisi pipeline route inatembea along the major nodes of transport such as roads and rail vifaa Vinafika site kwa urahisi.
kaka tulichoshinda sisi ni kupunguza kodi na kununua hisa ya 15% na bahar nzuri huku ardhi ni mali ya serekali ndio maana hata mradi ukashuka cost yake lakini ukienda head to head walipaswa kushinda ila sisi tulitumia fitna na ushawishi ambacho ni kitu kizuri sana tulifanya

kwa sasa tusikatae hatukua kwenye ushindani wa kulazmisha uganda kutumia SGR yetu tusikatae kabisa, tumeshindwa kwasababu kwa sasa hakuna ufatiliaji wala ushawishi wowote
 
Tanzania has always wanted to serve Uganda through lake victoria ndio maana umeona priority yetu ni kupeleka reli DRC kwanza sio Uganda na bado we are on course. Kwani kama priority ingekuwa Uganda si ungekuta kuna mchakato wa reli from Isaka to Mtukula lakini kwa sasa hiyo plan haipo mradi wa sgr unaofuatia according to serikali ni mtwara mbamba Bay kwenye madini ya chuma na makaa ya mawe.
bro haya maneno unayatoa wapi??😂

uganda isingekua priority yetu tusingekua na option mbili ya kufika kwake, hata DRC tunayoiwaza sisi ni hio ipite burundi au rwanda, sometimes tukubali kua hakuna ufatiliaji wala ushawishi kwa sasa ila tuendelee kusifia tu
 
Mafuta gani tena wakati Uganga atakuwa na mafuta yake by 2026.
uganda atazalisha crude oil ambayo itasafirishwa through tanga kwenda kwneye mataifa mengine na hayo mafuta ni ya ubia sia yake pekeake bro

hakuna oil refinery africa hii nje ya nigeria, misri, algeria, morocco, tunisia etc na wao still mauzo yao yanategemea kuuza europe na asia
 
uganda atazalisha crude oil ambayo itasafirishwa through tanga kwenda kwneye mataifa mengine na hayo mafuta ni ya ubia sia yake pekeake bro

hakuna oil refinery africa hii nje ya nigeria, misri, algeria, morocco, tunisia etc na wao still mauzo yao yanategemea kuuza europe na asia
Au siyo? 😂😂👇👇
Screenshot_20241123-203846.jpg
 
bro haya maneno unayatoa wapi??😂

uganda isingekua priority yetu tusingekua na option mbili ya kufika kwake, hata DRC tunayoiwaza sisi ni hio ipite burundi au rwanda, sometimes tukubali kua hakuna ufatiliaji wala ushawishi kwa sasa ila tuendelee kusifia tu
Option 2 ziko wapi? Wazee wa Sgr za mchongo mnaparurana 😂😂
 
Back
Top Bottom