Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Majuzi si kuna wabunge walitoka Uganda kujifunza uendeshaji wa SGR, mbona hawaendi Kenya?
 

Haya ni maneno ya kuwafariji ng'ombe wa kunyaland ili wasilipuke na kuchoma moto mabanda yao... Hii ni ku counter news ya ground breaking ya huko Uganda...

Ndio mlichobakiwa nacho... Mdomo mdomo tu... Na saiv kunyaland imekuwa Nchi ya mazezeta... Ni mwendo wa kudanganywa tuu... Ukipinga ni kupelekwa mbinguni jumla jumla na genge la kina kibet...

Hivyo hata ukitetea hapa kuhusu kunyaland na kuelewa sana... Unaogopa kuwa abducted... Nabii anawanyorosha kweli kweli
 
Sawa mjinga.


View: https://x.com/KenyaRailways_/status/1859202357210280323

View: https://x.com/KenyaRailways_/status/1858559999846515139
 
Acha uongo wewe quack, Tanzania has more blackout than Ethiopia. Ethiopia has power surplus while Tz has no power to satisfy the nation.
Unadhani mimi taahira kama wewe!?
Embu tizama habari televisheni ya Africa news channel,hiyo Ethiopia bado haijaweza ku maintain umeme ndani ya nchi yake.
Sembuse ije isambaze umeme Tanzania!?
Shenzi wewe.
 
Nchi sita za upuuzi!
Maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…