Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Utakufa siku si zako. Kenya haionekani kwenye orodha.

1732253012933.png
 
Wapi inasema sisi ndio tumewateua waamuzi or kuchange kick off.

Unaelewa hata uzito wa kuchange kick off na waamuzi?

Hayo ni mambo ya CAF not our
Kitu itawaumiza ni kuingiza ineligible player number 26.
 
Sikujua SGR ya Kenya imefika Kampala. Ama Kingereza ndio kimekupita kama kawaida yenu?😂😂

Labda unifundishe kijaluo

Kwa treni yenu hiyo mbovu, mnatumia 14 days kufika Kampala... Ila mkitumia Reli ya standard ambayo Uganda ndio wanataka kuanza kujenga mtatumia 24hrs from msa to Kampala...
Hivyo kwa watu wa siaya watatumia SGR ya Uganda kupeleka mzigo kwao maana watatumia muda mfupi zaidi kuliko kutumia nginja nginja hiyo ya mchina

Nadhani umeolewa sasa... Au bado?

Screenshot_20241122_085204.jpg
 
View attachment 3158355
Jamaa anaongelea lorries and MGR which take 14days from Mombasa to Kampala lakini wewe kwa sababu huelewi Kingereza unadhani anaongelea SGR ya Kenya. Unakuanga na akili kweli?
 
Jamaa anaongelea lorries and MGR which take 14days from Mombasa to Kampala lakini wewe kwa sababu huelewi Kingereza unadhani anaongelea SGR ya Kenya. Unakuanga na akili kweli?

Talking about akili with a headless chicken like you...

Sasa Kwani kuna SGR inayofika malaba?! Na bado hiyo diesel powered train ya kunyaland haiwezi kuwa efficient kama ya Uganda... Hivyo bado Uganda rail will have more competitive advantage than your smoke bolted rails.

Utake, usitake... Uganda wata weka marshaling hapo Tororo ambayo ita serve huko Siaya na other western parts za kunyaland. Sioni uwezekano wa rails kuwafikia in 20yrs to come.
 
Back
Top Bottom