Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Ebu nionyeshe penye tushaishindwa kulipa deni hadi tukasamehewa.Kati yako na GOK nani anasema kweli?
Ebu nionyeshe penye tushaishindwa kulipa deni hadi tukasamehewa.Kati yako na GOK nani anasema kweli?
Sawa shoga.
Do you agree that Kundustan is dead?Sawa shoga.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Je, hawa watu wamejipaka rami? au mkaa? Rangi ya ukuta na sura zao ni sambambaSawa shoga.
baiskeli imewekewa sofa!
Wewe hata kutia mguu huwezi halafu unaongelea michuano ambayo iko above the board kwako kirahisirahisi tuu 😁Mnapigia kelele na mbaenda kutoka huko bila ushindi wowote😂😂
Kundustan mnaishi kwenye ulimwengu wa kwenye ndoto. Tanzania tunaishi maisha real. Check vibe hapa:
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
View: https://x.com/PresenterNoah/status/1858879957193146623
Hiyo michuano ndio tuliwapiga bao tatu.Wewe hata kutia mguu huwezi halafu unaongelea michuano ambayo iko above the board kwako kirahisirahisi tuu 😁
Hakuna uzinduzi wowote utakaofanyika Talanta.Mnaogopa Atlanta kweli kweli😂😂😂.
Finals ya AFCON itachezwa huko mpende msipende
Wewe mtoto wa kike, kaa kimya nchi yako is dead. Huoni aibu?Hiyo michuano ndio tuliwapiga bao tatu.
Kwani ile mitumba yenu from Spain mlishaitupa au bado?Mitumba from Germany, your broke government can’t even buy new products.
Thanks for comparison our MGR trains to your refurbished SGR trains.Kwani ile mitumba yenu from Spain mlishaitupa au bado?