Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwalimu wa nursery wewe unasema nini hapa?
Kaka yake Teargas 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇

1732096237387.png
 
Lending government money is the way to go, most Kenyans are now lending GOK their money directly and banks are suffering juu walizoea kukula interest za serikali sana. This time round Tuko nao bumper to bumper.

Alafu fala wa Tanzania atakuambia Kenya iko na deni mingi when in real sense hizo deni ni za wakenya tu😂😂


View: https://x.com/BD_Africa/status/1859144888773710223


View: https://x.com/BD_Africa/status/1859061769999704205

Kati ya wakenya na wachina kina nani wanadai pesa ndefu GOK?
 
Kweli kabisa kaka, huyo wenzie tulishampuuza, kwasababu hana jipya yeye hayupo kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania bali yupo kwa ajili ya kampeni, sasa mtu kama huyo hana nafasi humu cz majukwaa ya siasa yapo kule sio humu, ampige ignore aendelee na mambo yake.
Anasahau kuwa huwezi shinda ubishani na mtu anayejitoa ufahamu.
 
Back
Top Bottom