NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,975
Hiyo picha ya mwaka gani?baiskeli imewekewa sofa!
Hiyo picha ya mwaka gani?baiskeli imewekewa sofa!
Childish
Ndio maana mna suffer hakuna money circulation kitaa mpaka mnaandamana hovyo.60% of Kenya’s debt ni ya wakenya compared to only 5% ya Wachina. Tanzania 80% of their debt ni ya foreigners Kenyans included.
Local lending has risen because global credit ratings have been unfavourable to you lately hamkopesheki hence hamna jinsi zaidi ya ku source locally na ndio mnaua uchumi rasmi sasa.As of March Kenya’s debt was 50/50 foreign:local.
Foreign debt Ksh 5.2T
Local debt Ksh 5.2T.
By November the local has risen to 60% while foreign decreased to 40%.
View attachment 3156831
Money Circulation in Kenya is triple that of Tanzania.Ndio maana mna suffer hakuna money circulation kitaa mpaka mnaandamana hovyo.
Developed countries are determined by the ability to borrow locally, that’s why countries like USA, Japan, UK etc has more debts than their gdp which majority of the debt from local. Poor countries like Tanzania has to depend from foreigners to fund their government operations.😂😂Local lending has risen because global credit ratings have bern unfavourable to you lately hamkopesheki hence hamna jinsi zaidi ya ku source locally na ndio mnaua uchumi rasmi sasa.
Kwa hizi fikra zako uchwara sasa mko juu ya Ghana kwa vile wao hawakufuzu na Tz imefuzu eti? and they were in the easiest pool! hizi fikra zako nizakichokoraa sana, haubadiliki miaka nenda miaka rudi, uko vile vile tu ki fikra hehehe., u must be a drop outSiku zote huwa nasema takwimu za caf siziamini, Afcon ya tatu hii Tanzania inafuzu alafu haya masenge hayafuzu wala nn eti bado takwimu uchwara zinawaweka juu yetu, nafikiri now wakenya watakubaliana na mm kwamba tupo juu yao kisoka.



Kenya; developed Country. 🤣 🤣 🤣 over my dead bodyDevelopment countries are determined by the ability to borrow locally, that’s why countries like USA, Japan, UK etc has more debts than their gdp which majority of the debt from local. Poor countries like Tanzania has to depend from foreigners to fund their government operations.😂😂
Yes we are better than Ghana this year, na ndio sababu tumefuzu Afcon while Ghana wamefeli.Kwa hizi fikra zako uchwara sasa mko juu ya Ghana kwa vile wao hawakufuzu na Tz imefuzu eti?
Hiki ni kizungu cha kinyang'au?😁...countries like USA, Japan, UK etc has more debts than their gdp which majority of the debt from local. Poor countries like Tanzania has to depend from foreigners to fund their government operations.😂😂
Tanzania has a higher money circulation outside banking system than Kenya.Money Circulation in Kenya is triple that of Tanzania.
Sawa mkuu, nimekuskia heheheYes we are better than Ghana this year, na ndio sababu tumefuzu Afcon while Ghana wamefeli.
Kuwa na akili before you post anything. Whatever you have shared is the value of all money in circulation in Tanzania for the whole year while ya Kenya is only the money outside banks in a month.Tanzania has a higher money circulation outside banking system than Kenya.
Kenyan circulation equivalent to TZS 5 trillion (268bn KSh) while circulation in Tanzania is 6 Trillion
![]()
Why the use of Sh10,000 notes has risen and what it means
The circulation of Sh10,000 notes in Tanzania has risen by 75 percent in the past five yearswww.thecitizen.co.tz
Kuelimisha mtanzania nikama kuchora giza hehehehe...,Kuwa na akili before you post anything. Whatever you have shared is the value of all money in circulation in Tanzania for the whole year while ya Kenya is only the money outside banks in a month.
Hawa watanzania hukuwa na ujinga sana, ati sasa huyo chokora Ana jaribu kulinganisha money circulation in Kenya with their poor country, so to try and make it comparable anachukua money circulation ya whole year ya Tanzania analinganisha na money circulation ya Kenya one month😂😂Kuelimisha mtanzania nikama kuchora giza hehehehe...,
Mobilization and civic education has started for phase 2B.
View: https://x.com/KenyaRailways_/status/1859202350981775397