Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulishaelewana Mombasa is ahead of Dar by now.

Three level interchange In Mombasa.
1732090970499.jpg
 
Kenya bus building industry has come of age. Last year Kenya built more than 3,000 buses locally.

Futura 1 by ENA Coach.

1732091656074.jpeg
 
Another one from Master Fabricator, this year we will hit 5,000 buses built locally.

Crane Coach.
1732091888140.jpeg
 
Kwani Kuna account ya michango ya Taifa Stars?

Wewe kichwa chako kina upumbavu mwingi,utoe mchango kwani Stars imefiwa au imepatwa na majanga?
Chawa kuchangia timu ya taifa kupo, Tena waziri mkuu ndio aliongoza hiyo kampeni ya kuchangia timu ya taifa. Hafla ilifanyika johari rotana mwaka huu mwanzoni, watu wakachangia wengine walitoa ahadi.
Screenshot_20241120-114341_1.jpg
 
Baada ya Afcon 2025 rank yetu ya FIFA itaongezeka sana.
Hakuna kitu, wanatudharau, ligi yetu mara ya mwisho ilikua ya tatu kwa kutoa wachezaji wengi AFCON, ligi yetu ya 5 kwa ubora Africa, timu yetu inaingia AFCON mara ya tatu mfululizo...au tusema mara 4 kabisa ukijumlisha na 2027. Ila bado kuna mchi za hivyo kama Kunya eti ipo juu yetu.

Tu focus na maendeleo ya mpira wetu tu. Watakapo ona aibu watatukuta tu huko mbele
 
FIFA doesn’t leagues while doing Ranking. Nyinyi watanzania mbona mnakuanga wajinga hivi?
 
We are moving on the right direction.

Boat and Ship building in Mombasa.

View: https://x.com/KenyaShipyards/status/1858845831065202950

Kameli ka uvuvi!

View: https://x.com/Adambrv/status/1837265999328072055

Sisi tupo levels way above 👇 👇

View: https://youtube.com/shorts/5KIaRJOK_l8?si=yKws9Rl5ROQCFiA6

Mind u Mwanza alone has more ships than the whole of Kunyaland!
 
Back
Top Bottom