Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo mbuzi za kibera unafikiri zinaelewa kitu wao walisha ambiwa wako mbele ya Africa Mashariki kwa kila kitu sasa njoo kiuhalisia wanaongoza kwa slum,wanaongoza kwa njaa,wanaongoza kwa unemployment,wanaongoza kwa unaskini,hayo ni baadhi tu
We kondoo kumbe naposema with one dollar napata 2kg unga na wewe unapata 1kg si namaanisha individuals au wewe uwezo wako wa ku articulate vitu ni mdogo?
 
maendeleo gani?? ya kumalizia miradi au maendeleo gani unayosema ww ??

maendeleo meli ya mafuta inakaa bandarini mwezi mzima alaf damage yake wanafaidila watu wachache mzigo unarudi kwa wananchi hayo ndio maendeleo???😂😂😂😂😂😂😂

au maendeleo ya mikopo ya over 20b usd in just 3 yrs huko kodi na tozo kila kona 😂😂

naskia kuna gorofa limekwenda chini kariakoo vp waziri anasemaje bado yuko ofsini???? au tushangilie tu


View: https://www.instagram.com/reel/DCbE46qsmEL/?igsh=aHlrczJjb3VnZmlx

Hayo nayokuonesha ni kumalizia miradi? 😂😂😂😂

Kuna Rais wa kabla ya Samia anaweza kumzidi kuleta maendeleo? 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DCbL4qwKUfQ/?igsh=OGExMjR6NTFndDN0

Hapa ni kumalizia miradi? 😂😂👇👇

View: https://x.com/TaruraTz/status/1857472546628595790?t=88hISUDU97yLX3Rx4UF2Pg&s=19

View: https://x.com/TaruraTz/status/1857473356913848624?t=Uoar7zThb5SUxwdo1zTb7w&s=19

Hadi huyu mwenye majicho kama Yako anafurahia kazi za Samia jimboni kwake 👇👇

View: https://youtu.be/VrndEEL2T2Q?si=eMmTt4V7lMWphWbI
 
Bado mko chini ya Kenya in the number of health facilities. Hakuna any development indicator that Tanzania will ever be ahead of Kenya.
Unabwabwaja bila facts ciz unajua ukiweka hapa ni aibu tupu 😂😂😂

I) Niliwahi kukwambia uweke data za rural water supply ukakimbia

II) Weka Dara za rural electricity accessibility ukakimbia

3/Internet users ukakimbia

4/Rural roads network ukakimbia

5/Na Afya na Elimu ukakimbia

6/Idadi ya viwanja vya ndege ukakimbia

Unapwaya mdomoni Hadi kichwani 😂😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DCbF30NtVRJ/?igsh=emdpZDQyZm51dHhw

Cc hater Ichoboy
 
On right track Tanzania’s next budget to rise to about $20 billion
Screenshot_20241116-122014.jpg
 
Umezoea kukopa vitu unadhani wote ni kama wewe? Wewe endelea kukopa mapicha ujaribu kudanganya nao watu.
Sawa ngoja tumsubili mchina aje ajichukulie shamba lake maana mchina mkopo reli mshafeli bado ule wa white elephant lamu
 
Back
Top Bottom