ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Mkishaishiwa miradi mumebakia kuonesha tugorofa 🤣🤣👇👇
😂😂😂😂 😂😂😂Naona mmeanza kutoleana risiti za EFD wakuu. 😂😂😂 Dah.!!
narudi kukwambia msalato ulishaanza kipindi cha magu 😂😂😂😂😂Msalato umeanza 2021/2022 awe kwako ulianza awamu ya Jiwe? 😁😁
Ndio ,nitaendelea kukutwanga na utitiri wa miradi.
Tunaifungua Tanzania kufika kusikofikika 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DCPX8MiuJV8/?igsh=MXJ1d2FnanFiNnc3MA==
so kama alisimamia kwa hii miaka mitatu hana msimamizi au???😂😂😂😂Teuzi za Kadogosa alisimamia Mwendazake kumbuka huyo ni Sukuma gang mwenzako,unataka tumtose? 😁😁
Mwisho angeshindwa treni isingeanza kutembea
pamoja na mauzo yote ya dhahabu bado tunakopa tu over 20b usd in just 3 yrs aiseee wonders haziwezi kuishaMnafukuza upepo sijua hata gold yenyewe mta smuggle kutokea wapi 😁😁
Muda mrefu sana upi? 😁😁😁
Tuoneshe huo mda mrefu hapa
Umeishiwa wewe loser.Pata dozi uache kuweweseka 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DCPYuO3NEiR/?igsh=MW9paG42MTljYzJqdw==
narudi kukwambia msalato ulishaanza kipindi cha magu 😂😂😂😂😂
tuambie over 20b usd zimekopwa in just good 3 yrs ni za nn na yet kuna kodi na matozo kila kona 😂😂😂😂
kwani mchakato wa ujenzi ulianza lini ??
Hivi september 2021 magu alikuwa badp yuko hai?
Habari
Bilioni 165 zasainiwa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato
![]()
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato kwa gharama ya shilingi takribani bilioni 165.
Ujenzi huo unatekelezwa kwa ushirikiano wa kampuni tatu kutoka China ambazo ni Sinohydro Coorporation limited, M/s Beijing Sino-Aero Construction Engineering Co. limited pamoja na M/s China Jiangxi International Economic and Technical Cooperation Co. Ltd ambapo unatarajiwa kukamilika ndani ya kipindi cha miezi 36 kutoka sasa.
Akishuhudia utiaji saini huo, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amewataka wakandarasi hao kutekeleza mradi huo kwa viwango vilivyokubaliwa kimkataba na kwa kuzingatia muda ili kuwezesha malengo ya Serikali ya kuifanya Dodoma kuwa Mji Mkuu wa Serikali kufikiwa.
“Serikali tumejipanga kuhakikisha malipo kwa mkandarasi yanalipwa kwa wakati, hivyo hakikisheni Mkandarasi anatekeleza majukumu yake yote kwa mujibu wa mkataba, hatutakubali visingizio vyovyote”, amesema Waziri Prof. Mbarawa.
Naye Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka, ameishukuru Serikali kwa kufikia hatua hiyo na kuahidi kutoa ushirikiano kwa wakandarasi pale unavyohitajika.
Aidha, amewataka wananchi wa Dodoma kutumia fursa ya ujenzi wa kiwanja cha ndege huo kupata ajira na kusisitiza kufanya kazi kwa uaminifu na bidii kwa watakaofanikiwa kupata ajira katika mradi huo.
Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Malongo, amesema Wizara imejipanga kukamilisha taratibu za kiutendaji zilizobaki kwa wakati na kuwataka wote wanaohusika na mradi huo kuanza kazi mara moja.
“Mkataba umekamilika tunawataka wakandarasi na wasimamizi waende site mara moja, wizara tuko tayari kwa kazi", amesema Katibu Mkuu Mhandisi Malongo.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Babaraba Nchini (TANROADS) Mhandisi Rogatus Mativila, amesema ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato utahusisha awamu mbili ambapo awamu ya kwanza itakuwa ni ujenzi wa barabara ya kuruka na kutua ndege na ujenzi wa majengo ikiwemo jengo la abiria.
Kiwanja hicho kitakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria milioni 1.5 kwa mwaka pindi kitakapokamilika.
point ni kuwa Magu alisaini tu na hakuwa na hela ya kuanzisha mradi na hoja yako ilikuwa ujenzi ulianza kipindi cha magufuli tumekuletea evidence kuwa fedha za ujenzi zimepatikana miezi saba baada ya magu kuhepakwani mchakato wa ujenzi ulianza lini ??
au mradi kama mradi uliidhinishwa mchakato wake na nani??? wakat mwengine mtumie hata akili za kuzaliwa tu, aliehamisha wizara na serekali kwenda dodoma anajulikana ulitegeme mradi wa msalato haukua kwenye plan ???😂😂
Kama New Jersey mwanangu 😍😍😘😘🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥
tuaanzie hapa hii hela ilieeenda wapikwani mchakato wa ujenzi ulianza lini ??
au mradi kama mradi uliidhinishwa mchakato wake na nani??? wakat mwengine mtumie hata akili za kuzaliwa tu, aliehamisha wizara na serekali kwenda dodoma anajulikana ulitegeme mradi wa msalato haukua kwenye plan ???😂😂
Jamaa halijui,hata ring road imeanza Kwa mama.
Mwendazake alisaini mradi hewa AfDB hawajutoa hela ,mradi ukaja kusainiwa upya awamu ya mama 😁😁😁😁
Nilichekaga sana ni kama EACoP Mwendazake alikuwa anasaini Kila siku ila hakuna Mkandarasi site 😂😂