Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,923
- 103,792
Ikiwa imeanza kipindi cha Magu? Au unataka kusema yeye ndiye alitoa fedha?rusumo ilishaanza muda mrefu sana alaf sio ya tanzania pekee inamilikiwa na nchi tatu na kila nchi ilitoa fedha πππ
ww unatuletea miradi ilishaanza toka kipindi hicho cha magu πππππ
over 20b usd in just 3 yrs alooooππ»ππ»ππ»