Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dasilinga 👇🏾
IMG_2825.jpeg
IMG_2822.jpeg
 
Me pia kuna ile inanikeraga kutootesha hata majani ya gardening or hata kuweka maua posta eneo linalotenganisha barabara na waenda kwa miguu like seriously ni kitu kidogo tu na muonekano safii.
View attachment 3149404
View attachment 3149403

View attachment 3149402

Yaani unakuta eneo kama hilo mtu anaweza jikwaa akaanguka, ile sidewalks barrier zimepinda nyingine zimeanguka no one cares.

Ni janga. Ongezea na hawa wapuuzi wahindi wanajikuta matawi wanaanika minguo nje.

Alafu hilo jiji lifanyie kazi sehemu za kukaa asee sio kila mtu anamjua mangi.
China is very clean.
 
Ila Mzee still wakijipanga wanaweza hata wakiajiri wajenzi toka nje. Yaani just-export crude then kurudishiwa byproducts. Sidhani kama Ethiopia ina refinery pia! Wanajaribu kujenga!


View: https://youtu.be/QUubsFHkLGE?si=1h6SdIRf4JUWWaZ6


BTW wale wapumbavu wa pipeline Lokichar-Lamy na refinery Lamu as part of LAPSSET waliishia wapi?


No sane investor can put money in an unstable and corrupt country.
 
Back
Top Bottom