Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

rudi kwenye point kwanza kama tunakopa mikopo ovyo tozo ziondolewe sasa tozo zinasaidia nn kama tunaingia kwenye gurudumu la mikopo ya ovyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

miaka mitatu mitakatifu pesa zimekopwa na zitandikwa kisawasawa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

alaf tulikua tunawacheka wakenya wanakopa sana kumbe na sisi tumeingia kwenye mtihani huo huo sasa hvi hakuna wakumcheka mwenzieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maneno meengi ila ni pointless.

Matumizi ya Trilioni 50 πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCOBpAtNG6Z/?igsh=d2dvZDhyOG1sdjdm
 
Dar is good lakini manyaya ya umeme, bajaji na bodaboda zinauharibu huu mji
Skyscrapers nzr lakin manyaya yanaharibu kweli.
Kweli Mkuu kuna kipindi ilishawahi kuongelewa siasa siasa siasa
IMG_2452.jpeg
 
Kweli Mkuu kuna kipindi ilishawahi kuongelewa siasa siasa siasa
View attachment 3149290
Mambo ya muhimu Sana yanatumia muda mwingi kutekelezwa hapa Tanzania.

Lakini wao wanatembea huko nchi za watu wanapiga picha.
Na ninasema hii Dar cbd zikiondolewa electric Cables, boda na bajaji. Watu hawatochoka kupiga picha haswa wakati wa Asubuhi na jioni.
Wangeanza na hio Azikiwe street kwanza
 
I really can't complain na ziara zake asee maana kila nchi anayoenda unaona impact hapa nchini.

Visitation ya business wa nchi hiyo tena wale elites.

Huko pande za North ruti zote unaambiwa upeleke Canon folder HAITI, Housemaids etc
 
Mambo ya muhimu Sana yanatumia muda mwingi kutekelezwa hapa Tanzania.

Lakini wao wanatembea huko nchi za watu wanapiga picha.
Na ninasema hii Dar cbd zikiondolewa electric Cables, boda na bajaji. Watu hawatochoka kupiga picha haswa wakati wa Asubuhi na jioni.
Wangeanza na hio Azikiwe street kwanza
Me pia kuna ile inanikeraga kutootesha hata majani ya gardening or hata kuweka maua posta eneo linalotenganisha barabara na waenda kwa miguu like seriously ni kitu kidogo tu na muonekano safii.
1000191611.jpg

1000191610.jpg

1000191612.jpg

Yaani unakuta eneo kama hilo mtu anaweza jikwaa akaanguka, ile sidewalks barrier zimepinda nyingine zimeanguka no one cares.

Ni janga. Ongezea na hawa wapuuzi wahindi wanajikuta matawi wanaanika minguo nje.

Alafu hilo jiji lifanyie kazi sehemu za kukaa asee sio kila mtu anamjua mangi.
 
Back
Top Bottom