ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,216
- 163,902
ππππππ acha watu wapige pesa sisi tuendelee kushangilia tuYaliyinunuliwa mwaka jana na mwaka juzi yalienda wapi?
ππππππ acha watu wapige pesa sisi tuendelee kushangilia tuYaliyinunuliwa mwaka jana na mwaka juzi yalienda wapi?
View: https://www.instagram.com/reel/DCM2Io-Rhz-/?igsh=ZHE0d2Y1MWlnaHhp hawa wacuba wanaongea kiswahili fasaha kuwazidi wakundustan
Kuna kipindi serikali ya kunyan ilitaka kazi anayoifanyia TZ aifanyie na kunyan,sijui iliishia wapiHuyu bongozozo ni mgodi unaotembea, anapambana sn kuing'arisha Tanzania.
Kama hukuuliza hilo ni kosa lako, lakini mimi nimekuuliza. Hapo vipi?... mbona hatukuwauliza kama nyie wazazi wenu wameshakufa
Tar inapatikana after refining crude oil into its constituents the last one being tar.Mi kitu nashangaa tar inatokana na crude oil inakuwaje South Sudan wawe na barabara Mboni na wana oil?
Dar is good lakini manyaya ya umeme, bajaji na bodaboda zinauharibu huu mjiNaona mambo yanaendelea ila kuna kitu najiuliza hivi ni kweli tumeshindwa kulaza cable za umeme sambamba na huu mradi hata katikati ya mji tu, maana niliona project ya majaribio kule mgulani karibu na Jitegemee pia ifike wakati pikipiki na bajaj katikati ya mji nopen
Kadogosa wa TRC au wewe unanifahamu mwingine?nani anasimamia mradi? nani alaumiwe ? nani mwenye uchungu na mradi huu??
au tuendelee kucheza filamu ππππ
Maelezo mengi yasiyo na Tija ππππkukamilisha sio kuanza mradi mzee, kukamilisha maana yake unakamilisha tayari ππππ hio ikulu ya dodoma ilikua over 60 to 70%, magufuli city same also over 50%, bwawa la nyerere same also over 30 to 40% au nasema uongo
deni limetoka 56trillion to 100 trillion in just 3 good yrs, yani miaka mitatu mitakatifu au sio sisi kazi yetu ni kukopa mpaka miradi yenye tozo πππ tunajisifu tunakudanya sana kodi na hazijulikani zinaenda wapi ikiwa kila mradi ni kukopa tu au sio ππππ
nchi imekopa miaka 3 kuliko awamu zote zilizopita combine sijapata kuona kwneye maisha yangu, ama kweli pesa zimepigwa kisawasawa ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Industrial park mpya yaja, ujenzi wa new muhimbili hospital, digital technology university, arena etc
View attachment 3149072View attachment 3149073View attachment 3149074View attachment 3149075View attachment 3149076View attachment 3149077
View: https://x.com/tonytogolani/status/1854847665466753509?t=_hnN1tJt94G5K1xL3l1TUw&s=19
Ila Mzee still wakijipanga wanaweza hata wakiajiri wajenzi toka nje. Yaani just-export crude then kurudishiwa byproducts. Sidhani kama Ethiopia ina refinery pia! Wanajaribu kujenga!Tar inapatikana after refining crude oil into its constituents the last one being tar.
South Sudan does not have a refining capacity they export all their crude to the world market so hawawezi kupata tar. Vile vile ujenzi wa barabara una other associated costs apart from tar.
View: https://www.instagram.com/reel/DCM2Io-Rhz-/?igsh=ZHE0d2Y1MWlnaHhp hawa wacuba wanaongea kiswahili fasaha kuwazidi wakundustan
Wew mshangazi hakuna unalojua kazi uchawa tuKama hukuuliza hilo ni kosa lako, lakini mimi nimekuuliza. Hapo vipi?
so kadogosa hana boss wake ??πππKadogosa wa TRC au wewe unanifahamu mwingine?