Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TANROADS wameweka vituo vizuri sana along Kibaha Highway.

View attachment 3148663

ingawaje wamejitahidi lkn kwa maoni yangu bado hawajafikia quality ya vituo vya br. A.H. Mwinyi kutokea moroko mpaka kituo cha red cross, vile vituo vya hiyo br. kila nikiviangalia huwa nastaajabu sana kwa kazi nzuri iliyopigwa pale sijui ni nani alivijenga, vinaweza vikadumu hata miaka 50 ijayo labda kubadilisha paa tu, na ni vikubwa haswa watu wengi tu wanaweza kutoshea …
 
kukamilisha sio kuanza mradi mzee, kukamilisha maana yake unakamilisha tayari 😂😂😂😂 hio ikulu ya dodoma ilikua over 60 to 70%, magufuli city same also over 50%, bwawa la nyerere same also over 30 to 40% au nasema uongo

deni limetoka 56trillion to 100 trillion in just 3 good yrs, yani miaka mitatu mitakatifu au sio sisi kazi yetu ni kukopa mpaka miradi yenye tozo 😂😂😂 tunajisifu tunakudanya sana kodi na hazijulikani zinaenda wapi ikiwa kila mradi ni kukopa tu au sio 😂😂😂😂

nchi imekopa miaka 3 kuliko awamu zote zilizopita combine sijapata kuona kwneye maisha yangu, ama kweli pesa zimepigwa kisawasawa 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
ingawaje wamejitahidi lkn kwa maoni yangu bado hawajafikia quality ya vituo vya br. A.H. Mwinyi kutokea moroko mpaka kituo cha red cross, vile vituo vya hiyo br. kila nikiviangalia huwa nastaajabu sana kwa kazi nzuri iliyopigwa pale sijui ni nani alivijenga, vinaweza vikadumu hata miaka 50 ijayo labda kubadilisha paa tu, na ni vikubwa haswa watu wengi tu wanaweza kutoshea …
kaka sasa hvi ni upigaji na hvi pesa ziko nje nje hazina msimamizi watu wanapiga pesa wanewaekea alimradi liende alaf sisi tuendelee kushangilia 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom