Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawalipi viingilio!
Unadhani wakenya ni kama nyinyi wenye wanaingia bure?


View: https://x.com/TeyaKevin/status/1840318624847757621

Remember Shabana is bottom in the league yet they still have huge fans. They were playing against Posta Rangers which is bottom Third.

1731160418160.jpeg
 
Kidogo kidogo tunaingia kwenye udini,halafu ndio tunarudi pale pale,samia angeamua ufisadi wa kalemani na kampuni alizokua akimiliki na zilivyokua zikilipwa kwenye mradi sgr kusingekalika,yule doto james alivyokua kiungo wa kuiba na kuficha pesa za mnene ni hatari,duniani hakuna mkamilifu na jpm kiuhakika alifanya kazi kubwa lkn si kama ndio alikua msafi sana,kuhusu muendelezo wa miradi ya jpm samia nae anahitaji sifa zake kwa kuiendeleza maana kwa katiba mbovu ya nchi yetu rais ndio kila kitu,angeamua sgr iishie hata moro tusingemfanya cct kama jpm alivyobadilisha mchoro wa daraja la ubungo na kuacha miradi nyumba za kawe n.k
Sasa kama unajua ufisadi wa kelemani na hizo kamapuni kwa nini usiweke hadharani hapa?
 
Back
Top Bottom