Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Imemalizika mwaka Jana na sio 4 years kama unavyosema.

Hapo kazi ya ujenzi wa coldroom inaendelea.

Leta projects za Kundustan Wacha masononeko 😂😂👇👇

View: https://youtu.be/FCKcXR1LK00?si=L6UcWqD8Fjokmij0

Projects zenye mnapigia kelele hapa are things that you have been repeating all alonh, nothing new.

Have you ever seen any Kenyan posting this Project? No, because we don’t celebrate every project like you. Najua hamjazoea ujenzi so it must surprise you.


View: https://x.com/ray_omollo/status/1844990552741142911
 
We haveseveral projects going on, the fact that we don’t post them here haimanishi haziko.
Ndio hizi? 😂😂😂😂👇👇
20241108_143035.jpg
 
Yani ww, hebu Ingia website ya tarnroad angalia tender ya rehabilitation ya mafinga . Mbona mbishi?
Mkuu kwanza unachanganya kipande kinachozungumziwa hapa ni kutoka iyovi au basi kitonga mpaka mafinga .
Wewe unazungumzia mafinga - igawa vitu viwili tofauti iyovi ni kabla ya kufika iringa, igawa nani baada ya kutoka makambako kwenda mbeya
 
Back
Top Bottom