Hii sabotage unaweza kukuta hata kunyan wanahusika kwa kushirikiana na wa TZ wanaoangalia future ya matumbo yao tuKumbe kuna ******* juzi walikata nyaya za umeme zinazopeleka umeme kwenye treni, ni hujuma kumbe na kuna ******* washakamatwa ππΎ
View: https://youtu.be/tJIHahLj8Xc?si=fSJbVK_yB3m-vHS-
Mkuu ukiachana na miradi ya vyuo,Nipe mradi mmoja wa chuo ulioanzishwa na ulikamilika kipindi cha jiwe!
Miradi yote iliyoasisiwa na wengine watapewa credits walioanzisha na sio kukamilisha maana ndio propaganda iliyoasisiwa awamu ya 5,so mradi ni wa kina Lowasa/Jakaya ,wafanya extension hawana Chao.Unajua sijui u afanya kazi gani/shughuli gani
Lakini naona unapoteza muda kwa vitu unavyoanzisha alafu baadae tena unarudi kulekule ulipokataa mwanzo,
Angalia tulipoanzia kwenye huu mradi alafu angalia unachoandika sasa. Kwanza ulikataa haukuwwpo huo mradi, sasa hivi unasema maua wapewe lowassa waliokuwa na wazo la mradi, sio Tena Nani alianza na kukamilisha. Muda ni mali, kuwa straight kwenye mada
Leta evidence tarehe zitakuumbuaMkuu ukiachana na miradi ya vyuo,
Miradi iliyoanzishwa na kukamiliki kipindi cha mjomba ni pamoja na DMDP na ULGSP.. ukitaka niiweke humu utakimbia mkuu.
Bado kuna ile mradi wa kuboresha Shuka kongwe zote nchini. Ikiwemo na while yangu ya O level. Usagara Sec Tanga ππΎView attachment 3145516View attachment 3145517..
Mkuu hii miradi najua unaijua labda kama umeamua kujisahaulisha tu, ku push ajenda yako.
Tz imepa kuona barabara mingi za lami katika halmashauri za miji na majiji kupitia hii mradi wa ULGSP.
Hii miradi ingekuwa JPM bado yupo isingetekelezwa hapa bali Chato!
Tunaendeleza maono
Watakuwa wanafanya biashara na wazungu tuu si unajua wanajiona wako Europe π€£π€£π€£Wale jamaa wa north wanaojita big economy mbona siwaoni?
Kufika hii level sio leo you have got a long way to go labda 40 years to come.At least every team in Kenya Premier League and The National league is going to have a home ground stadium. Many stadiums are coming up, including in Turkana Kwale, Marsabit etc.
View attachment 3145289View attachment 3145290View attachment 3145291View attachment 3145293View attachment 3145294View attachment 3145296View attachment 3145297View attachment 3145299View attachment 3145300
Hatukatai kuwa Magu aliuchangankia huu mradi uwepo Tz ila tunachokataa ni kauli kama bila Magu huu mradi usingekuwepo.kaka whatever the case huu mradi jamaa aliupigania sana na fitna nyingi sana zilitembea na musianze kuleta ujinga sasa hao mawaziri waliokua wanatumwa kwenda uganda mara yeye magi akutane na museven tanga munafkiri ilikuja kwa bahat mbaya
toeni credit kwa jamaa japo ukweli ni mchungu infact he was a real fighter, kutoa mradi kuuleta tanzania sio jambo dogo kabisa wakenya wanasifika duniani kwa uongo na drama, haikua kazi rahisi kama munavofikiri kabisaaππππ
Tulia wewe zkilichoishia njiani kinaendelezwa.Kumbe mnaendekeza maono ya JPM
Sema watu wanajisahau sana kaka juhudi na uthubutu wa jpm kamwe hautokaa kusaulika ata ukipitia comment kwenye hii miradi inayozinduliwa km Emu nyingi ni za kumsifia jpm huwezi kuona za mkwere wala mama ndio jinsi jpm anaishi kwenye mioyo ya watulegacy imezidiwa na ikiwa mtu amelala chini miaka mitatu bado munahangaika nae kuficha mazuri yake ππππ
leo nchi imefika deni trillion 100 bado kuna tozo tunaambiwa ni kwa ajili ya same projects ambazo pesa zinakopwa tena alaf tuko hapa kushangilia kila kitu
nchii ilinyooka kama ruler sio hospitalini sio maofisini sio wizarani heshima kazini ilirudi au tumesahau leo, haya nenda kwenye hospital za serekali sasa hvi kama utahudumiwa bila rushwa ππ