Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jambo lilivyokua limeshashindikana, wanajeshi waliamua sasa kwenda kuzuia njia zote kubwa za kuingia mjini, operation hii wakati inaaanza mimi nilikua nipo kariakoo tayari, kwahiyo niliyashudia makundi mengi yalio zuiwa kutokea upande wa wanajeshi. Hii ilikua ni majira ya saa 10 mchana nilivyokua kariakoo siku hiyo. View attachment 3701416View attachment 3701417View attachment 3701418View attachment 3701419.. hii video inaonyesha raia wakiwa Jangwani njia ya ndani kigogo sambusa wakijaribu ku access Kariakoo. 👇🏾
View: https://vt.tiktok.com/ZSgW8oq55/.

Damu za watu zinawatesa sana.

Huu siyo uzi wa mambo ambayo kila mwenye akili timamu anayajua.
 
Low IQ stupidi manki.
Hii ndo comment yangu, kutoficha kichwa kwenye mchanga ina maana nikubaliane na alichoandika Traveller D sasa wewe na shobo zako za kutoelewa lugha ya kiswahili unaleta shobo hapa,
Btw lini utaanza kujadili mambo ya kwenu au huwa hamuona mnaona kwa jirani tu!
1793354677258.jpeg
 
Duh!mkuu hapo umepotoka,kuna watoto walikufa nao ilikua haki yao?tuipende nchi yetu ila kwenye makosa tusiache coz sababu tu chama au kiongozi unayemkubali,hivi unajua hadi watu wa ccm walikufa siku ile,kwenye kizuri tusifie kwenye ubaya tukemee
Usijali Mganga na Umbwa, mbilikimo atapata like ya AMARII na Mgonjwa Matapiko.
 
Kinachoniuma ni kuona ukweli unapotoshwa , anapewa zigo la misumari mtu asie na hatia.. tunaweza kweli tukawa hatumpendi kiongozi lakini tusimbebeshe misalaba. Watu wetu walifanya mambo ya hovyo sana, vifo ni matokeo ya uovu waliouanzisha.

Kwanini tusiwakanye waanzisha maovu kama kweli tunayo nia ya dhati ya kujenga nchi yetu.? Badala yake mnasapoti waanzisha mauvu halafu mnasahau kwamba watu wema wanawajibika kuzuia uovu pia.? Ikibidi kuuondosha kwanguvu.?
Sijasapoti upande wowote mzee, maana kuna waliokutwa na balaa wakiwa kwenye mishe zao wala hawakuwa kwenye maandamano wala kuharibu mali za mtu.
Tuache hizi story.
 
Back
Top Bottom