eti nimeakia SGR kukwama njiani ni hujuma je ni kweli???ππππTunaendeleza maono
Emoji nyingi sana, what's wrong?Mradi wa Tabora wa Bilioni 700? Unaota wewe,uweke hapa na Mimi nisome kama wewe ulivyosoma ππππ
Kwa hiyo viwanja vya ndege 2 basi ndio vinatosha miaka 5.5? ππ
Kigamboni ya wapi hiyo? Daraja la Kigamboni amejenga JK,the same to Kilombelo ambalo lina jina La Magufuli
Wewe Bado unaokoteza miradi ambayo hata haikufanyika awamu ya 5 ππ
Weka hapa mradi wa Maji wa Bilioni 700 ππ,Bora hata ungesema mradi wa Maji wa Arusha ambao haukumaliza kama kawaida yake ππ
Mwisho Mwendazake alikuwa na miradi ya kuokoteza Kwa sababu hata pesa hakuwa nazo maana hajui kuzitafuta, biashara zilianguka, investors wakakimbia,Kilimo kilianguka nk nk
Hujiulizi hata miujiza hakuna harafu deni lilfika 56T πππmiujiza na alaf deni la taifa limetoka trillion 54 mpaka 100 within 3 good years
na bado tozo kila kona
ππππππππππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Nyie mpira achaneni nao hamjabarikiwa kwenye soka.Reason why Kenya is playing so much international football.
View attachment 3145284View attachment 3145285View attachment 3145286View attachment 3145287
Lete picha ligi ya Kenya inachezwa usiku kama NBC premier league.At least every team in Kenya Premier League and The National league is going to have a home ground stadium. Many stadiums are coming up, including in Turkana Kwale, Marsabit etc.
View attachment 3145289View attachment 3145290View attachment 3145291View attachment 3145293View attachment 3145294View attachment 3145296View attachment 3145297View attachment 3145299View attachment 3145300
Sawa.Vijana na mihemuko ya ajabu kweli. πππ
Unakuta pages kumi humu zote ni JPM this SSH that siku nzima.
Usiseme ni mradi wa Bilioni 700,,hapo imefanyika extension tuu.Emoji nyingi sana, what's wrong?
Mradi wa maji ziwa Victoria uligharimu bil 700
Daraja la kigamboni limekamilika 2016, same na kilombero wakati wake. Sasa labda tuseme issue Ni kukamilika au nani ameanzisba? Maana hata Sasa huwezi acha kumsifia mama Samia kwa mradi wa reli au jhppl kisa alieanzisha mradi ni mwingine
Mradi wa maji
Siku ya kuanza mradi
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/JamiiForums/videos/tabora-rais-magufuli-leo-ameweka-jiwe-la-msingi-la-mradi-wa-maji-kutoka-ziwa-vic/1557034501027205/
Uzinduzi/kukamilika
View: https://www.youtube.com/watch?v=h7GKmNfw2Gk
Kuna watu wanatafuta kichaka Cha kujifichia kukwepa uwajibikaji Kwa sababu za uzembe.eti nimeakia SGR kukwama njiani ni hujuma je ni kweli???ππππ
Nakukubali sn mkuu huwa nakufatilia kule jukwaa la siasa, uko vzurii.Sio kweli, miradi mingi tu wakati wa magufuli ilikamilika hapa nitakutajia kwa uchache
Kwa uchache ni hayo, sitegemi ubishe sababu huenda ukawa hujui so nategemea uniulize mifano ya sehemu ya hiyo miradi ilipokamilika kwa wakati huo
- Miradi ya barabara kuunganisha mikoa
- ujenzi wa barabara za kawaida, na upgrading
- Stand za mikoa
- masoko
- Madaraja
- Ujenzi wa hospital
- Ujenzi wa vyuo/shule
- miradi ya maji
- miradi ya umeme
- viwanja vya ndege
Kwani Kuna kipi ambacho kinafanyika hakina interest ya siasa au maamuzi ya siasa? Acha ujinga basi,hapo nimekuonesha wewe hater na Kundustan ufanisi wa Tanzania kwenye Barabara Vijijini.Wewe nae huu uzi ni wa kuonyesha maendeleo ya dar na nbo,habari za siasa peleka kwenye jukwaa la siasa
Kwanini mradi wa chuo?Nipe mradi mmoja wa chuo ulioanzishwa na ulikamilika kipindi cha jiwe!
Huwa nawaambia hata rais awe paka lkn mradi kama wa sgr ilikuwa lazima ukamilike, issue ilikuwa kupata jasiri wa kuuanzisha ambaye ni JPM.MUHAS - mloganzila
Pia vyuo vya Kati
Huu ubishani wenu hauna maana hamtumii akili, common sense tu haiwezekani miradi kadhaa isiwe imekamilika kuanzia ya shule, hospital, barabara, maji n.k.
Hata raisi awe mzembe vipi lazima kuna miradi itakamilika. Hata wewe ukiwa raisi leo hii lazima Kuna miradi utaikuta itakamilika na ipo utaanzisha utaweza kuikamilisha.
Ni mradi wa gharama kiasi gani?Usiseme ni mradi wa Bilioni 700,,hapo imefanyika extension tuu.
Huo mradi ulikuwa launched awamu ya Lowasa maji yakatoka Shy na Kahama, Mwendazake ameyafikisha Tabora na Samia anayapeleka Kaliua na Sikonge ,lakini pia ameyafikisha Igunga na Shelui na malengo ni yafike Dodoma.
Mwisho unapotaja figures uwe unaelewa unachoongea sio kujiongelesha kama mwanakijiji.
View: https://youtu.be/80D2IbVocwQ?si=AboshJ7xPL6hmmf1
Mwenye mradi wake tushamzika saizi apewe maua yake,JK na Lowasa ,Hawa ndio wabeba maono na walipambana kweli kweli.Ni mradi wa gharama kiasi gani?
Pia hiyo sio extension, ni mradi mpya
Unajua sijui u afanya kazi gani/shughuli ganiMwenye mradi wake tushamzika saizi apewe maua yake,JK na Lowasa ,Hawa ndio wabeba maono na walipambana kweli kweli.
View: https://youtu.be/jjHbTvE7Toc?si=aw9nq3WWsilSOYoO
Mwisho mradi ni wa bili.600
View: https://youtu.be/9SZ_CFtGehA?si=h3T5lBOgyVAxF11L
Huwa sikujibu kwasababu huna akili, wewe mwenyewe hujielewi nini unasemaMpumbavu wewe, unadhani mnaweza kuifika electric sgr ya Tanzania kwa wingi wa madaraja? Nyie mmeibiwa, mnajengewa madaraja ya nn kwa treni inayotembea speed ya 50km/hr?
Misukuma mijinga sana imejaa chuki!Huyu mama watu wanamchukulia poa ila kuna vitu anafanya watu hawataki kukubali,hata hii issue yake na jpm ni chuki tu ya pro jpm na pro mama,ila ukiangalia kwenye miradi hata jpm mwenyewe uko kaburini anafurahi miradi aliyoianzisha yote hamna ambao umelala,mama anatendea haki maono ya jpm tuache ushabiki na chuki za kipumbavu
Kadogosa ni mpumbavu nae asitafute excuses, SGR lazma ilindwe na ni wajibu wake!Kumbe kuna ******* juzi walikata nyaya za umeme zinazopeleka umeme kwenye treni, ni hujuma kumbe na kuna ******* washakamatwa ππΎ
View: https://youtu.be/tJIHahLj8Xc?si=fSJbVK_yB3m-vHS-