The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Wanakuambia wao ni English speakers cha ajabu zikitoka list ya Afrika countries zinazoongea English huwa hawapo kabisa, hata unapoomba scholarships nchi za ulaya, Kenya inahesabika kama nchi isiyojua English na wanatakiwa wafanye mtihani wa lugha kama waburundi au wacongo au wacomoro tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwani wakenya mna English gani ya maana at least hata waganda wanajitahidi ila Kenya mkitoa lugha zenu za asili hakuna lugha nyingine mnaiweza Kwa ufasaha