Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi siko kwa levels za kuomba picha, i share my own things here na sio za kuombwa 😂😂
Kweli utakaokota picha ya lamborgin kuwa ni yenu sio, nimekupa mfano tu watu vitu tunavyofanya na Bado huwez fika hata robo
 
Anadhan Kila mtu ni mwenzake humu
Anahangaika sana. Tumekuwepo hapa since battle inaanza 2017. Sisi lengo letu ni kuweka public awareness kwa watanzania. So watu wakipitia hapa watakuwa wakiona tabia za wakenya.

Watanzania kwa sasa tunawaepuka mno kwenye issue zetu. Kila wakija na brags zao watanzania wanaachana nao.
 
Kweli utakaokota picha ya lamborgin kuwa ni yenu sio, nimekupa mfano tu watu vitu tunavyofanya na Bado huwez fika hata robo
Tena umechange gear ati ni mfano wakati mwanzo ulikuwa unasema ni zako?😂😂🤣
 
Kesho Tarehe 03 Nov 2024 EMU Dar - Dodoma.

Nafasi zimebaki chache sana. Royal imejaa

1730550627639.png


Business Behewa no 2, 3 zimejaa

1730550662619.png



1730550697810.png


Behewa 4 zimebaki tatu

1730550738253.png
 
Sasa unapinga Nini kuwa sio zangu na Bado nyingine jumatatu zinaenda tulizana
Sio zako, umeomba picha ukatumiwa WhatsApp 😂😂🤣😂.

Vitu vyako utakosaje kujua siku hiyo picha ilipigwa? Unasema ni leo wakati picha inasema ni last month😂😂🤣
 
Acha niwatch vile Arsenal wanafinywa, ntarudi kucheka watu wa fake life wa kuiba picha baadaye😂😂🤣
 
Back
Top Bottom