Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Is there anywhere outside Dar slum that can compete with Ruiru town?
Unawaumiza sana Vumbistanis.😂I said it wakanipinga. Interior reconditioned by Master 😂😂🤣👇👇
View attachment 3134367
Kaka kile kitu kiache tu hata kwa hiyo nauli Bado sana ndani kitamu balaaa, ishu ni picha tu hazijasambaaDuh mchongoko umenyooka ila nauli yake wameweka kubwa sana.
😂😂😂👇👇160m ndio mnaita tallest in East Africa?😂😂
Anataka kumuondoa jaji amuweke wetangula
Ooh kwanza tuendelee kuvuta viti na wine tusubiri talanta yetuHapana,
Wetangula ni team Riggy G hivyo na yeye anapumzishwa moja kwa moja. Yule jaji mkuu mwana mama koome yuko mfukoni mwa Husler tayari.
Nauli sh ngap? Sio 50k kwa Economy?Duh mchongoko umenyooka ila nauli yake wameweka kubwa sana.
Kwani Kuna economy kwa mchongoko SI nilisikia 120,000-100,000 bila hapo usiguse mlangoNauli sh ngap? Sio 50k kwa Economy?
Nafikiri ni 120,000 kwa 70,000Nauli sh ngap? Sio 50k kwa Economy?
Ngoja TRC watupe majibu kwa uhakika. Au ngoja nijaribu kubook tarehe 1 nioneNafikiri ni 120,000 kwa 70,000
InagomaNgoja TRC watupe majibu kwa uhakika. Au ngoja nijaribu kubook tarehe 1 nione
Bado haijawekwa kwenye ratiba. Hio ni ROYAL EXPRESS.Ngoja TRC watupe majibu kwa uhakika. Au ngoja nijaribu kubook tarehe 1 nione
Maskini ni Hawa hapa 👇👇Nchi maskini inipatie maumivu?