ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,254
Kati yako na mwenye gari Nani anajua zaidi? From now henceforth nikiwaambia kitu muache kupinga. I told you about Tanzanian investors buying buying Marcopolo buses from Kenya mkapinga, I also told you about Ally’s Star going to Master Fabricator mkapinga.Asee WTF is this?
And that’s the reason why hawanipendi.😂😂Unawaumiza sana Vumbistanis.😂
Kwani nyie meshatoa hilo pori hapo Nairobi?Build up area ya Dar can’t allow it to have a Metropolitan yet. Toeni mashamba ya mihogo kwanza within the Dar boundaries ndio mfikirie kuhusu Metropolitan 😂
Ungemuuliza slums kwanza uko kwenye pori ungemuwekea kiporoKwani nyie meshatoa hilo pori hapo Nairobi?
Ahead in what nchi haina hata decent bus terminal wala city transportation system inayoeleweka nyef nyef sort out Gen Z first they have a valid argument.Remember Kenya is still far much ahead of Tanzania hata mpige kelele aje.
Sound of Traction motors kwenye electric trains ni kitu cha kawaida kwenye developed kantriis hawa wengine sasa milio ya mashine ya kusaga yenye chimney ndio normal 🤣🤣🤣Kitu mlio wa nyuki
Kundudwellers bhana. Kila siku tunapigiwa stories za GTC which owned by Chinese Government.It wouldn't even crack top 3 in Nairobi bro. In fact it would barely crack top 5 in Nairobi.😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nasubiria talanta kwa hamu sana mainjinia wakenya hawajawahi niangusha
Heheheheeee halina mnara hiloo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣160m ndio mnaita tallest in East Africa?😂😂