ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,355
- 88,446
🔨🔨🔨🔨 Kichapo kinaendelea 👇👇Is there anywhere outside Dar slum that can compete with Ruiru town?
View: https://youtu.be/QDhJKnvn8Dg?si=QS_HrMlJ5Ri0sjKi
🔨🔨🔨🔨 Kichapo kinaendelea 👇👇Is there anywhere outside Dar slum that can compete with Ruiru town?
Cosmetic project ni Ile ambayo haileti pesa.Ila wewe sijui nikuweke kwenye kundi gani siyo Cosmetic Project tena nahapo bado mzigo utaelewa tu ni wapi kama nchi tunapaswa kuelekea ni swala la mda tu
Unateseka Ukiwa unakula miraa pandw zipi 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBhBuslAtKT/?igsh=Y2t0a2tiOWkzcTBx
Au tuliwekee mnara wa mita 50 kabisa au mnasemaje?Heheheheeee halina mnara hiloo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Halina mnara hilo mzee, hatuzungumzii urefu wa minara 😂😂😂160m ndio mnaita tallest in East Africa?😂😂
Cha ajabu hapa ni nini, au hayo magodoro 🤣🤣
Tanzania ikiamua jambo lake hivi vinchi vya East and central Africa huwa vinatii, sisi ndiyo wenye akili kubwa hapa EA, huwa hatukurupuki.Waliandamana wanapinga huo mradi kwani walishindw nini kuuzuia
Wanakuambia mnara nao ni jengo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Au tuliwekee mnara wa mita 50 kabisa au mnasemaje?
Tanzania ikiamua jambo lake hivi vinchi vya East and central Africa huwa vinatii, sisi ndiyo wenye akili kubwa hapa EA, huwa hatukurupuki.
Sisi tukilima mjini unaita "crop land" nyie mkilima mjini mnaita "urban farming""Dar still can’t have Metropolitan with all the crop lands you still have within the its boundaries.
Ikiandikwa kwa kiswahili ni umasikino lakini ikiandikwa kwa Inglis ni maendeleo their IQ never fail to amaze me 🤣🤣🤣🤣Sisi tukilima mjini unaita "crop land" nyie mkilima mjini mnaita "urban farming""
Acha roho mbaya........ nyang'au mkubwa wewe!!