NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,386
- 17,968
Wacha nikuachie hiyo ushinde wewe kima. Sina huo muda.🚮🚮Hiyo port iko wapi kwani according to you.? 😂😂😂
Wacha nikuachie hiyo ushinde wewe kima. Sina huo muda.🚮🚮Hiyo port iko wapi kwani according to you.? 😂😂😂
Sio uniache nishinde, kichaa hii unaleta ubishi kwa vitu hujui manzee 😂😂😂 that’s stupidity.Wacha nikuachie hiyo ushinde wewe kima. Sina huo muda.🚮🚮
Lazma Mkunya ndiye katafsiri!
In that context it means urban!Nje ya mji mean far from the city center (hiyo ndio maana ya nje ya mji) nafundisha kiswahili online 😂😂
Data za airport tuu kwenye hiyo category zinatosha.
Nimeeleza kwa nini mji ni both City na Town hapo juu, nimeeleza hamna comparative nouns za ukubwa, udogo na wastani zinazoweza kuwa translated moja kwa moja kutoka Kiswahili hadi Kiingereza kwa jambo hili maanake Kiswahili kina Ukubwa, Wastani na Udogo wakati Kiingereza kina Ukubwa na Udogo tu. Kama huwezi elewa hilo then huna uwezo wa kujafili nami mambo ya lugha. Heri nikuache.🚮🚮😂😂😂😂 ajabu hii, mwenye lugha kubishiwa na anaetumia google kujua lugha. Wewe ni kichaa au vipi.? 😂😂
Mji=town
Jiji=City
ZERO Emission 😂😂😂😂Good Morning from Nairobi.
See how beautiful electric vehicles are all over Nairobi
Nairobi is the most developed city in Africa
View attachment 3130639View attachment 3130642
Kwa hivo Nairobi Terminus haipo kwenye urban area? Wacha ushenzi.🤣In that context it means urban!
Sawa Geuza.🤣🤣Lazma Mkunya ndiye katafsiri!
Wewe nyoko shindania Gikuyu si Kiswahili!Nimeeleza kwa nini mji ni both City na Town hapo juu, nimeeleza hamna comparative nouns za ukubwa, udogo na wastani zinazoweza kuwa translated moja kwa moja kutoka Kiswahili hadi Kiingereza kwa jambo hili maanake Kiswahili kina Ukubwa, Wastani na Udogo wakati Kiingereza kina Ukubwa na Udogo tu. Kama huwezi elewa hilo then huna uwezo wa kujafili nami mambo ya lugha. Heri nikuache.🚮🚮
Kiswahili ambacho kimeanzia Kenya ndio unaniambia nisishindanie?🤣🤣Wewe nyoko shindania Gikuyu si Kiswahili!
Kwamba wewe unajua kiswahili kuliko mimi.? 😂😂😂 wacha mchezo kijana.Nimeeleza kwa nini mji ni both City na Town hapo juu, nimeeleza hamna comparative nouns za ukubwa, udogo na wastani zinazoweza kuwa translated moja kwa moja kutoka Kiswahili hadi Kiingereza kwa jambo hili maanake Kiswahili kina Ukubwa, Wastani na Udogo wakati Kiingereza kina Ukubwa na Udogo tu. Kama huwezi elewa hilo then huna uwezo wa kujafili nami mambo ya lugha. Heri nikuache.🚮🚮
Choko wewe kimeanzia UKunduni yet hujui tofauti ya Jiji na Mji!Kiswahili ambacho kimeanzia Kenya ndio unaniambia nisishindanie?🤣🤣
Kiswahili kipi.? 😂😂😂Kiswahili ambacho kimeanzia Kenya ndio unaniambia nisishindanie?🤣🤣
Jiji ni ukubwa wa mji. Wabongo ambao wanadhani Mji ni CBD wanifunze Kiswahili?Choko wewe kimeanzia UKunduni yet hujui tofauti ya Jiji na Mji!
Yeah sure.In that context it means urban!
Nani anadhani mji ni CBD.? 😂😂😂 mbona unaeleza vitu zenye hujui .?Jiji ni ukubwa wa mji. Wabongo ambao wanadhani Mji ni CBD wanifunze Kiswahili?
Najua upo kwenye kampeni.
Unajifanya yes sure kukwepa aibu?🤣🤣 Ati mji ni CBD.🤣🤣Yeah sure.
Geza anajua kiswahili na wala haikumuwia vigumu kunielewa, wewe hujui kitu ndio mana una manga manga. 😂😂😂Unajifanya yes sure kukwepa aibu?🤣🤣 Ati mji ni CBD.🤣🤣