Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Wewe baboon tuonyeshe hiyo bypass tuone.Google Arusha bypass.
Wewe baboon tuonyeshe hiyo bypass tuone.Google Arusha bypass.
Akiendelea hivi Mirembe inamhusu😁Sio hawataki kushindwa, ni upumbavu tu wa huyo bwana mdogo chizi.
Hospitali ya machizi wenzake huko Dodoma 😂😂😂Akiendelea hivi Mirembe inamhusu😁
Bado atapasuka mchonyo kabisa...EMU inaanza kaziHuu mjadala tulishaumaliza zamani lakini hawa nyang'au bado wanajifanya kichwa ngumu hawataki kukubali kushindwa. Wanachekesha sana😁😁😁
Yet it takes 7 hours to Mombasa 🤣🤣🤣🤣
Pia Iringa Bypass n Dodoma Ring Road!Google Arusha bypass.
What do you mean by nje ya mji? So CBD pekee ndio mji ama hujui maana ya mji? And if that's the case si pia ya Dar ipo nje ya mji? Wacha upumbavu.Mind u Nairobi Terminus ipo nje ya mji so add another 2 hours from those 7!
Dar terminus ipo CBD mkuu.What do you mean by nje ya mji? So CBD pekee ndio mji ama hujui maana ya mji? And if that's the case si pia ya Dar ipo nje ya mji? Wacha upumbavu.
Nje ya mji mean far from the city center (hiyo ndio maana ya nje ya mji) nafundisha kiswahili online 😂😂What do you mean by nje ya mji? So CBD pekee ndio mji ama hujui maana ya mji? And if that's the case si pia ya Dar ipo nje ya mji? Wacha upumbavu.
Maximum speed of Tanzanian trains is 180km/h
Maximum speed of Kenyan trains is 200km/h
Mji = CityNje ya mji mean far from the city center (hiyo ndio maana ya nje ya mji) nafundisha kiswahili online 😂😂
Hapa ni CBD?Nje ya mji mean far from the city center (hiyo ndio maana ya nje ya mji) nafundisha kiswahili online 😂😂
Kiswahili hujui mkuu usihangaike 😂😂😂 hatutumiiMji = City
Wacha upumbavu
Wacha upumbavu weweMji = City
Wacha upumbavu
1. Nimekuambia hii nchi tangu ipate uhuru hakuna siku shule zimeachwa kujengwa, kwanza for your information Magufuli wakati anaingia alikuta shule za sekondari za serikali zipo hoi bin taabani, akaanza kuzi renovate, sio shule tu tuliona pia Mapinduzi makubwa kwenye sekta ya afya, ni yeye ndiye alitufuta tongotongo kwa kuboresha muhimbili na kujenga hospitali nyingi mpya ambazo ndizo zinamaliziwa kipindi hiki, n.k (siwezi kutaja vyote mana ni vingi hata wewe unajua)
2. Eti barabara mbovu zimejengwa enzi za Magufuli, labda akiwa waziri, mana Rais wake alikuwa Kikwete (kila mtu anajua madudu ya hiyo awamu) japo kuna mifano mingi ya kukataa barabara nyingi enzi zile akiwa waziri, ukiongea hivi mbele ya wananchi wanaweza wakakupiga coz tumeona barabara za Magufuli hata hizi za mitaani, tangu zinajengwa unaona kabisa sio jua kali kama za awamu zilizopita na ndiyo maana zimedumu mpaka leo.
Lakini pia inawezekana zipo barabara chache mbovu katika barabara nyingi zilizojengwa kipindi chake mana yeye sio Mungu useme atasimamia kila barabara Tanzania nzima, but haiondoi ukweli kwamba magu ndiye king wa roads Tanzania hii utake usitake.
3. Hivi mkuu umesoma history kweli wewe? Nenda kasome history ya developed countries alafu urudi hapa utuambie, nenda kasome history ya USA, UK, FRANCE, CHINA pia Germany, kasome uone walifikaje walipo. Tatizo waafrika mnapenda starehe bila kuzigharamia, ukitaka maendeleo ya kweli sharti uumie, hakuna maendeleo bila kuumia. Unataka uongeze wataalamu wakati bado una njaa, bado una infrastructures mbovu, bado huna pesa, hao wataalamu utawaongeza kwa maneno? Fuateni procedures muendelee, hakuna short cut.
Narudia tena, hakuna maendeleo bila kuumia.