Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hapo ni wapi kwani mzee.? Ngoja nikusogezee picha 👇🏾
Hapo ni wapi kwani mzee.? Ngoja nikusogezee picha 👇🏾
Peleka ujinga huwezi fananisha location SGR Tanzania Tanzanite station na Nairobi Terminus! SGR Nairobi ni sawa na Msoga station to Dar!What do you mean by nje ya mji? So CBD pekee ndio mji ama hujui maana ya mji? And if that's the case si pia ya Dar ipo nje ya mji? Wacha upumbavu.
kuna kitu Teargas hajawaonesha kuhusu kwale stadium 😂😂😂😂
View attachment 3130459View attachment 3130460View attachment 3130461
View: https://x.com/tv47news/status/1846616036579094905?s=46
Wakenya wamenunua nyasi Kikuu
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1847939734103810537?t=lupNbcXZQ7_paIDEl8HRlg&s=19
Anakula miraa saahii!
Wewe si umesema mji ni CBD, mbona unabadilisha tena?🤣🤣Kiswahili hujui mkuu usihangaike 😂😂😂 hatutumii
Mji=town
Jiji=city
Data za airport tuu kwenye hiyo category zinatosha.Ebu Leta evidence ya Zanzibar kupokea watalia wengi kuliko Mombasa na Diani combined. Ama unasahau Kenya inapokea watalii wengi kuliko Tanzania?
Heb leta hio post niliyosema mji ni CBD. 😂😂😂Wewe si umesema mji ni CBD, mbona unabadilisha tena?🤣🤣
Wakenya wamenunua nyasi Kikuu
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1847939734103810537?t=lupNbcXZQ7_paIDEl8HRlg&s=19
Mji = WastaniWacha upumbavu wewe
Mji ni Town
City ni Jiji
Usijisahau.🤣🤣Heb leta hio post niliyosema mji ni CBD. 😂😂😂
😂😂Nje ya mji mean far from the city center (hiyo ndio maana ya nje ya mji) nafundisha kiswahili online 😂😂
Mji si city!Mji = City
Wacha upumbavu
Kwa hivo CBD ikionekana inamaanisha hapo ni CBD? Enyewe Bongolala ni Bongolala. 😂 😂Hapo ni wapi kwani mzee.? Ngoja nikusogezee picha 👇🏾View attachment 3130693😂😂
Wewe kweli ni kima, huoni kama hilo jengo lipo posta.? 😂😂😂Kwa hivo CBD ikionekana inamaanisha hapo ni CBD? Enyewe Bongolala ni Bongolala. 😂 😂
So Port pia utasema Iko CBD? Ni kama huelewi maana ya CBD wee kima.🤣🤣Wewe kweli ni kima, huoni kama hilo jengo lipo posta.? 😂😂😂
😂😂😂😂 ajabu hii, mwenye lugha kubishiwa na anaetumia google kujua lugha. Wewe ni kichaa au vipi.? 😂😂
Hiyo port iko wapi kwani according to you.? 😂😂😂So Port pia utasema Iko CBD? Ni kama huelewi maana ya CBD wee kima.🤣🤣