President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,766
- 89,791
Issue si Adani bali Adani kukopa hela kutumia collateral ya JKIA kwani JIKIA kama JKIA wao wenyewe hawawezi kukopa?Sasa tunawacheka Adani hapo Kenya kwani Tz Adani si kapewa some container terminals? DPW kapewa nae few berths. Na sasa tunatumia hela zetu tena kutengeneza bandari au DPW ndio katoa hela.
Na utofauti wa adan kwetu hawez tumia collateral za bandari kukopa maana yeye kapewa eneo kwa ajili ya uendeshaji yaan ni kama kakodishiwa frame auze biscuit hawez kopeaIssue si Adani bali Adani kukopa hela kutumia collateral ya JKIA kwani JIKIA kama JKIA wao wenyewe hawawezi kukopa?
Primates of the other kind 😁Duu hata Ile king msukuma ya kwenda bush Ina unafuu. Humu wanapanda watu au
Reli ina umuhimu mkubwa sana sawia na barabara.Reli haijawahi na haitakuja kuwa muhimu kushinda Barabara
Barabara Mikoani na VijijiniHayo mahitaji mengi ya msingi ni yapi yataje
🚮🚮🚮🚮Kwa Sasa tulipofikia tunahitaji reli kuliko barabara . Zilizopo zinatosha kwa Sasa mpaka pale reli itakapokuwa imefika mwanza na kgm lakin pamoja na yote barabara gani ambazo zinatakiwa kujengwa maana karibia zote za kuunganishwa mikoa ziko katika ujenzi
Haina huo umuhimu ila wewe ndio unaitafutia umuhimu wa kunilazimisha 😁😁Reli ina umuhimu mkubwa sana sawia na barabara.
Serikali yenu yenyewe haijengi barabara katika mtindo unaohitajika na haijengi barabara katika ubora unaohitajika.
Barabara moja ndani ya mwaka ishakarabatiwa mara nne.
Usimamizi ni kitu mmekosa.
Ila reli ni kitu muhimu sana.
Kichwa chako ndio kinalazimisha isionekane muhimu.Haina huo umuhimu ila wewe ndio unaitafutia umuhimu wa kunilazimisha 😁😁
Hizo red zote unaziona hapo ni mavumbi na huko Wananchi hawajielewi Serikali na Wala hakuna anataka Sgr 👇👇View attachment 3128749
Mizigo Mingi ipi hiyo kiasi kwamba reli zinasafirisha na yet Zina register loss Kila mwaka? Uko timamu upstairs?Kichwa chako ndio kinalazimisha isionekane muhimu.
Kuna mizigo mingi tu husafirishwa na reli na kama ingetumia barabara basi ingekua ni tabu kuelekea kanda ya ziwa.
Jengeni barabara zenye ubora na zenye muundo bora ila umuhimu wa reli uko pale pale.
Hamna kitu wabongo mnaweza simamia kikasimama.
Hata hizo barabara mnajenga hovyo za kupachuka miezi mitatu.
Mna usimamizi mzuri!?Mizigo Mingi ipi hiyo kiasi kwamba reli zinasafirisha na yet Zina register loss Kila mwaka? Uko timamu upstairs?
Toka uhuru Hadi Leo hii mnasingizia usimamizi mzuri? Wewe Kwa nini usisimamie ilete faida?Mna usimamizi mzuri!?
Kama mngeibinafsisha ingekua imezorota kama sasa!?
Wacheni ufala jengeni barabara bora na muache wizi.
Kafanye cost benefit analysis Kati ya Barabara na reli. Kwanza lifespan ya Barabara unajua ni miaka mingapi na reli ñi miaka mingapi? Barabara kusafirisha tani Mia Kwa roli Kwa kilometers 2000 unajua inakugalimu dollar kiasi gani Kwa kununua Mafuta ukiringanisha na reli. Tena reli ya umeme unaozalisha Mwenyewe.Reli haijawahi na haitakuja kuwa muhimu kushinda Barabara
Barabara nyingi hapo zipo kwenye matengenezo mifano.Haina huo umuhimu ila wewe ndio unaitafutia umuhimu wa kunilazimisha 😁😁
Hizo red zote unaziona hapo ni mavumbi na huko Wananchi hawajielewi Serikali na Wala hakuna anataka Sgr 👇👇View attachment 3128749
Hujui kitu wewe Tulia.Ni aibu kuwa na Mikoa takribani 15 hazijaunganishwa na Lami harafu unakenua meno kuhusu SgrBarabara nyingi hapo zipo kwenye matengenezo mifano.
Masasi- newala- tandahimba-mtwara tayari Kuna mkandarasi anajenga
Ruangwa mbona ni lami kitambo
Liwale kimebakia kipande kidogo napo Kuna mkandarasi tayari
Nyakanazi - kigoma mkandarasi yupo fuatilia tanroads ila pamoja na mengine tanroads wanachelewa sana kuweka updates kwa mfano ruangwa Kuna lami karibia mwaka wa pili ila ukiangalia inasoma vumbi.
Kuna sehemu nyingine hata sio za kuweka lami Bali panahitaji barabara za vumbi tu hasa maeneo ya hifadhini
Cost benefit analysis inaanzia kwenye initial investment,running cost na maintainnance cost.Kafanye cost benefit analysis Kati ya Barabara na reli. Kwanza lifespan ya Barabara unajua ni miaka mingapi na reli ñi miaka mingapi? Barabara kusafirisha tani Mia Kwa roli Kwa kilometers 2000 unajua inakugalimu dollar kiasi gani Kwa kununua Mafuta ukiringanisha na reli. Tena reli ya umeme unaozalisha Mwenyewe.