President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,763
- 89,785
Twiga Stars imehseheni wasichana wanaocheza kimataifa. Abroad ya wachezaji wa kike wa Kenya ni Tanzania
Tulishazoea tabia zenu mbovu za kudanganya ulimwengu. 🤣 🤣 🤣 🤣 Hakuna kipya ulichoandika.Endelea kupinga.
Africa Corporate Data | Investment in Africa | Africa Companies
The most comprehensive database of African private companies for due diligence and business developmentwww.asokoinsight.com
Africa Corporate Data | Investment in Africa | Africa Companies
The most comprehensive database of African private companies for due diligence and business developmentwww.asokoinsight.com
Bado unataka link?Data zako za kipuuzi, weka link sio unatuwekea picha
Wewe bwege Mimi najua kuliko wewe,hiyo Barabara haijakamilika Bado Iko around 70%.
Watu wanataka Barabara ndio zinawasaidia kuinua uchumi wao sio reli 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBRTpdnN-Ka/?igsh=bzFxa3VkOWZiamox
You are just a foolish gay. So club ikiandika ayi player yao imeitwa to play national matches pia ni kitu ya kutuwekea hapa? Alafu huyu ni mwanaume ama mwanamke?😂😂Teargas anaumia... 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇
Klabu ya Trabzonspor ya Uturuki kupitia ukurusa wake wa Instagram @tskadinfutbol imeandika kuhusiana na kuitwa kwa nyota wa Tanzania Diana Lucas kwenye kikosi cha timu ya Taifa @twigastarstz . kitakachocheza dhidi ya Morocco na Senegal mwezi huu
View attachment 3128879
Sijawahi kusikia kutoka Kundustan. FactYou are just a foolish gay. So club ikiandika ayi player yao imeitwa to play national matches pia ni kitu ya kutuwekea hapa? Alafu huyu ni mwanaume ama mwanamke?😂😂
Ooyaa naona mawese au macho yangu. Ila shida maji hakuna wanatumia majaniVitu vya mwaka
View attachment 3128890
🤣 🤣 🤣 🤣 HatariOoyaa naona mawese au macho yangu
yani wao data za uongo na kweli wanahisi ndio zinawapa nafuu kumbe zinazidi kuwaangamiza 😂😂😂😂Mama Ngina Propaganda Machine.
Kimsingi reli na barabara vyote ni muhimu na vinategemeana. Matumizi ya reli kwanza hufanya bei za usafirishaji kuwa chini na pia husaidia kupunguza uharibifu wa barabaraMizigo Mingi ipi hiyo kiasi kwamba reli zinasafirisha na yet Zina register loss Kila mwaka? Uko timamu upstairs?
Tangu wamalize uchaguzi 9 August 2022 bado wapo kwenye election mode. Campaign kila siku na kutaka kung'oana kwenye uongozi. 🤣 🤣 🤣 Watapata wapi muda wa kujadili maendeleo?yani wao data za uongo na kweli wanahisi ndio zinawapa nafuu kumbe zinazidi kuwaangamiza 😂😂😂😂
leo kenya 2024 haina hata mradi mmoja serekali inajenga, serekali yao haina hata pesa ya kulipa mishahara madaktari wala waalimu 😂😂😂
Kama reli ni nafuu Kwa nini matajiri wa Tazara au wengine hawatumii huo usafiri?Kimsingi reli na barabara vyote ni muhimu na vinategemeana. Matumizi ya reli kwanza hufanya bei za usafirishaji kuwa chini na pia husaidia kupunguza uharibifu wa barabara
Shinyanga inafinywa na Kahama na Mwanza on each side imebaki kuwa administrative seat tuu ya region na ndio maana serkali haitaki kuipa kahama hadhi ya manispaa wanaogopa ita overshadow Shinyanga.Shy bhana inaniacha hoi sana, kimiundombimbinu ndani ya mkoa wa shinyanga pale mjini kati (wilaya ya shinyanga) ndio pamejengwa miundombinu vizuri kabisa ila Kahama ndio imechangamka kuliko zaidi..
Wana data za miaka ya nyuma sana. Ukiingia website ya tanroad Kuna barabara zinasomeka kuwa Bado kuisha mfano daraja wami, ruangwa- nanganga lakini hizi zote zimekamilika . Pia kukamilika mara nyingi pale ufunguzi unapofanyika bila hivyo itaendelea kusoma incomplete Ishakamilika kitambo.yani wao data za uongo na kweli wanahisi ndio zinawapa nafuu kumbe zinazidi kuwaangamiza 😂😂😂😂
leo kenya 2024 haina hata mradi mmoja serekali inajenga, serekali yao haina hata pesa ya kulipa mishahara madaktari wala waalimu 😂😂😂
Barabara zinajengwa sana tu ila watu hawataki kukubali na ishu ni sababu tushaweka negativity kwa SamiaKimsingi reli na barabara vyote ni muhimu na vinategemeana. Matumizi ya reli kwanza hufanya bei za usafirishaji kuwa chini na pia husaidia kupunguza uharibifu wa barabara