Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1. Nimekuambia hii nchi tangu ipate uhuru hakuna siku shule zimeachwa kujengwa, kwanza for your information Magufuli wakati anaingia alikuta shule za sekondari za serikali zipo hoi bin taabani, akaanza kuzi renovate, sio shule tu tuliona pia Mapinduzi makubwa kwenye sekta ya afya, ni yeye ndiye alitufuta tongotongo kwa kuboresha muhimbili na kujenga hospitali nyingi mpya ambazo ndizo zinamaliziwa kipindi hiki, n.k (siwezi kutaja vyote mana ni vingi hata wewe unajua)

2. Eti barabara mbovu zimejengwa enzi za Magufuli, labda akiwa waziri, mana Rais wake alikuwa Kikwete (kila mtu anajua madudu ya hiyo awamu) japo kuna mifano mingi ya kukataa barabara nyingi enzi zile akiwa waziri, ukiongea hivi mbele ya wananchi wanaweza wakakupiga coz tumeona barabara za Magufuli hata hizi za mitaani, tangu zinajengwa unaona kabisa sio jua kali kama za awamu zilizopita na ndiyo maana zimedumu mpaka leo.
Lakini pia inawezekana zipo barabara chache mbovu katika barabara nyingi zilizojengwa kipindi chake mana yeye sio Mungu useme atasimamia kila barabara Tanzania nzima, but haiondoi ukweli kwamba magu ndiye king wa roads Tanzania hii utake usitake.

3. Hivi mkuu umesoma history kweli wewe? Nenda kasome history ya developed countries alafu urudi hapa utuambie, nenda kasome history ya USA, UK, FRANCE, CHINA pia Germany, kasome uone walifikaje walipo. Tatizo waafrika mnapenda starehe bila kuzigharamia, ukitaka maendeleo ya kweli sharti uumie, hakuna maendeleo bila kuumia. Unataka uongeze wataalamu wakati bado una njaa, bado una infrastructures mbovu, bado huna pesa, hao wataalamu utawaongeza kwa maneno? Fuateni procedures muendelee, hakuna short cut.
Narudia tena, hakuna maendeleo bila kuumia.
Namba 2 si kweli! Miradi mingi ya barabara ilikuwa inatangazwa inazinduliwa Halafu Hamna ujenzi! Nakupa mifano ya miradi ya meli Lake Tanganyika na Victoria pia ujenzi wa uwanja wa ndege Tabora! Kuna clip YouTube akiamuru jengo la abiria liongezwe ukubwa.

View: https://www.youtube.com/live/1q_D6_Qqbik?si=jVEOM67jGCzr_PHz
 
Reli ni muhimu kuliko udhaniavyo wewe.
Sio tu usafirishaji mizigo bali hata usafirishaji watu.
Aliyekosea ni baba Mkapa kuibinafsisha.
Ila reli ni kitu muhimu sana.
Reli haijawahi na haitakuja kuwa muhimu kushinda Barabara
 
Mkuu Inawezekana hunafuatilia , kipindi Cha magu hakuna miradi kwa upande wa elimu aliyowekeza , huwezi Kuta hata 30 mpya kuanzishwa enzi za utawala wake , miradi kama barabara sawa ila nayo hakuimaliza maana hakukuwa na hela.tunazungumzia shule kwa mfano huu

View: https://youtu.be/XR-HW7E-z8U?si=p7_wClIUY62wqHVi
Hizi ni zile shule za 3bil tatu zimejengwa mpya from scratch Kila mkoa na nizawasichana.
Magufuli hakujenga shule Wala kuboresha miundombinu ya shule .
3. Kuhusu barabara lazima tuseme kuwa ni yeye maana hata ukiangalia barabara ambazo ndo zinamaliziwa zote yeye ndo alizianzisha . Kumbuka tungekubali kuwa zilikuwa na ubora pale ambapo hata ukaguzi wa vyombo vingine ungekuwa unafanyika , lakini pale mtu alipofanya ndivyo sivyo alitoka rejea Cag utouh.
3 hizo nchi zote ulizotaja zimeendelea kwa kuwekeza sana kwenye elimu . Elimu inafanya mtu kujitambua na zote ziliendelea hasa baada ya mapinduzi na kuamua kuwa na uchumi wa viwanda. Mfano tu china ilapoamua kuwekeza sana kwenye elimu ya ufundi ndo ilipotoka , vilevile Japan na India.
Kuhusu hospitali ndio alijenga muhimbili lakini ni watu wangapi wanauwezo kufika muhimbili ? Kipindi hapa Kuna vituo vya afya vingi sana vimeanzishwa na vingine kuboreshwa tofauti na kipindi Cha magu na kukuongezea tu pamoja na ujenzi serikali imeajiri watu wengi sana wa afya kipindi kuliko kipindi chochote.
Ukinipatia tangazo la kazi kuanzia 2015 - 2021 la kuajiri walau hata manesi 1000 kwa serikali kwa mkupuo nafunga account. Yaan ajenge hospitali majengo yabaki bila watoa huduma unaona Iko sawa.
 
Namba 2 si kweli! Miradi mingi ya barabara ilikuwa inatangazwa inazinduliwa Halafu Hamna ujenzi! Nakupa mifano ya miradi ya meli Lake Tanganyika na Victoria pia ujenzi wa uwanja wa ndege Tabora! Kuna clip YouTube akiamuru jengo la abiria liongezwe ukubwa.

View: https://www.youtube.com/live/1q_D6_Qqbik?si=jVEOM67jGCzr_PHz

Na ndo nachojaribu kumwambia magu alizindua miradi mingi ila hakuwa anajenga na ndo maana ukiingia website ya tanroad Kuna miradi sana Iko pending ndo inamaliziwa Sasa hivi , ila kwa sababu wengi walikuwa wapenda kusikia tu bila kufuatilia ndo maana wanaona alikuwa anajenga
 
I only see a handsome boy that you are forcing to tell people that he looks like monkey 😂😂😂😂.
No, you don’t resemble monkey. You only resemble baboon😂😂👇

IMG_0519.jpeg
 
Na ndo nachojaribu kumwambia magu alizindua miradi mingi ila hakuwa anajenga na ndo maana ukiingia website ya tanroad Kuna miradi sana Iko pending ndo inamaliziwa Sasa hivi , ila kwa sababu wengi walikuwa wapenda kusikia tu bila kufuatilia ndo maana wanaona alikuwa anajenga
Mi nilikuwa nachukia uongo wa serikali yake!
 
Watu wanapanda kudanganywa sana . Kuna barabara kama nyakanazi kibondo aliziacha kikwete kukiwa tayari na mkandarasi lakini mpaka anaondoka zilikuwa Bado kukamilika. Kaacha mamiradi kibao ambayo Samia anangaika nayo. Ila watu wanataka Kila siku wadanganywe ni vitu vipya. Magu alifanikiwa kununua ndege na kuhamia dodoma tu mengine zilikuwa sound tu
 
Reli haijawahi na haitakuja kuwa muhimu kushinda Barabara
Kwa Sasa tulipofikia tunahitaji reli kuliko barabara . Zilizopo zinatosha kwa Sasa mpaka pale reli itakapokuwa imefika mwanza na kgm lakin pamoja na yote barabara gani ambazo zinatakiwa kujengwa maana karibia zote za kuunganishwa mikoa ziko katika ujenzi
 
Reli ni muhimu Sana Kuliko barabara ,
 
Mkuu Inawezekana hunafuatilia , kipindi Cha magu hakuna miradi kwa upande wa elimu aliyowekeza , huwezi Kuta hata 30 mpya kuanzishwa enzi za utawala wake , miradi kama barabara sawa ila nayo hakuimaliza maana hakukuwa na hela.tunazungumzia shule kwa mfano huu

View: https://youtu.be/XR-HW7E-z8U?si=p7_wClIUY62wqHVi
Hizi ni zile shule za 3bil tatu zimejengwa mpya from scratch Kila mkoa na nizawasichana.
Magufuli hakujenga shule Wala kuboresha miundombinu ya shule .
3. Kuhusu barabara lazima tuseme kuwa ni yeye maana hata ukiangalia barabara ambazo ndo zinamaliziwa zote yeye ndo alizianzisha . Kumbuka tungekubali kuwa zilikuwa na ubora pale ambapo hata ukaguzi wa vyombo vingine ungekuwa unafanyika , lakini pale mtu alipofanya ndivyo sivyo alitoka rejea Cag utouh.
3 hizo nchi zote ulizotaja zimeendelea kwa kuwekeza sana kwenye elimu . Elimu inafanya mtu kujitambua na zote ziliendelea hasa baada ya mapinduzi na kuamua kuwa na uchumi wa viwanda. Mfano tu china ilapoamua kuwekeza sana kwenye elimu ya ufundi ndo ilipotoka , vilevile Japan na India.
Kuhusu hospitali ndio alijenga muhimbili lakini ni watu wangapi wanauwezo kufika muhimbili ? Kipindi hapa Kuna vituo vya afya vingi sana vimeanzishwa na vingine kuboreshwa tofauti na kipindi Cha magu na kukuongezea tu pamoja na ujenzi serikali imeajiri watu wengi sana wa afya kipindi kuliko kipindi chochote.
Ukinipatia tangazo la kazi kuanzia 2015 - 2021 la kuajiri walau hata manesi 1000 kwa serikali kwa mkupuo nafunga account. Yaan ajenge hospitali majengo yabaki bila watoa huduma unaona Iko sawa.

Mama anajenga mavyuo kila mahali!
 
Reli ni muhimu Sana Kuliko barabara ,
Kwa Sasa mtu hawezi kuona kwa sababu bandari ya dar ilikuwa Bado Iko chini kwa upokeaji mizigo. Pale itakapokuwa imesimama na kuanza kupokea mizigo walau contena 300,000 kwa mwezi ndo Kila mtu ataona kero ya malori
 
Tuna mahitaji mengi ya msingi kuliko za kujengea expressway.

Hayo mahitaji ya msingi yangefanyika awali Kwa pesa mlizojengea Sgr ya mapambo Kwa Sasa ndio zingekuwa zitumike kujengea hizo expressways.

Mwisho kabla ya kuwaza hizo expressway lazima kwanza Mikoa yote iwe imefikiwa Kwa kuunganisha na Barabara za Lami.
Hayo mahitaji mengi ya msingi ni yapi yataje
 
Huyu ana interest kwenye magari hat umuelimishe vip hawez kubali. Ulisema ujenge express highways nchi nzima inaweza kuwa gharama zaid hata hiyo reli, kwasababu itahitaji ulipe fidia kwa baadhi ya maeneo. Mfano mdogo ukisema uongeze hata lane mbili lazima utakuata na vituo vya mafuta na maghorofa kwa baadhi ya maeneo ambapo itakupasa ulipe mabiliono tena na kumbuka ili ujenge barabara nzuri ya kuduma walau upige mahesabu ya USD 1.2mil na Bado watu watataka watumie Bure. Kwa upande wa reli fidia haikuwa kubwa sababu reli imepita maporini na baadhi ya maeneo machache ya mjini.
Kilichofanya reli ya mwanzo ife ilikuwa ni speed . Kuna kipindi ilichukua mpaka siku nne kufika dar toka kigoma wakat mabasi ilikuwa ukitoka asubuhi unafika kesho yake jion.
Kwa sasaa hata zikianza trip za mizigo tegemea watu kukimbilia kwenye reli na Bado mizigo mingi tu itapatikana kwa ajili ya malori
 
Back
Top Bottom