Niliwaambia watuonyeshe only 5 electric vehicles from Tz wakashindwa😂😂
Niliwaambia watuonyeshe only 5 electric vehicles from Tz wakashindwa😂😂
Wamesahau neno intaneshino. 😂😂😂Mambathi Rolling!
Burundi anamzigo wa nickel na cobalt na kabanga Kuna nickel. Makadirio ni 2mil ton per year , hayo ni zaid ya malori 178 kwa Kila siku hapo hujaweka mizigo mingine , kama songea tu makaa ya mawe watu wanachemka na ni karibu , itakuwaje kigoma na kumbuka Kuna mizigo mingi inapitia Zambia kuingia kongo, wakati upande wa pili trc wameingia makubaliano na kongo kurekebisha reli ili ilifike Lubumbashi ,Wewe ni mwenye mawazo ya kipumbavu siku zote! A mining country like Tanzania n her neighbors need a railway!
Kabla ya yote ebu tuangalie miradi pending ambayo imeachwa bila kukamilika , magu alianzisha miradi mingi na ambayo mingi hakuweza ikamilishaHizo 10.7T unajua ni sawa na $4bn, mnajidai kukusanya $2bn kwa mwezi.
Alafu Expressway unaijua kijana eti mikoa 15 kwa $4bn uliona wapi? Expressway inataka elevated bridges, overpass, underpass, tunnels, flyovers, Interchanges unadhani hizo $4bn zinatosha hata kuifikisha Expressway ya kisasa Tabora?
Why msijenge? SGR imejengwa miaka mingapi? Hiyo miaka kila mwezi mnakusanya $2bn mnashindwaje? JNHPP si iliwezekana kwa $3bn hatusikii kelele yako.
Lusaka - Ndola Dual Carroiage way ipo $600m km za Dar Moro. kwenye hayo makusanyo ya $2bn kwa mwezi why mseme mtenge $50m kila mwezi kupeleka 6 way lanes morogoro kwa miezi 36 ikiwa hiyo iwashinde hadi mtafute mwekezaji. What does it mean kila kitu siku hizi kutafuta mwekezaji?
Hiyo reli ya $4bn ulitaka iwe ya $2bn tulete ngija ngija full moshi? Railways inaplay big part kwenye economy.
Msijaribu kujustify incompetence yenu kwenye miradi na matumizi ya mapato kwa kusingizia railways cost. Jenga maana hamna excuse, tushaoneshwa inawezekana
Ok, unaweza kunitajia hiyo miradi japo mitano ambayo ni massive aliyoanzisha ili tujaribu kufanya comparison?Yaap ukitaka tunaweza Anza kuoroshesha hata Sasa hivi na ukumbuke Bado hajakamilisha miaka mitano
Aya SGR 10 b USD , jhpp project 3 b usd, Dodoma city 7 b USD, main port Mtwara, Tanga Dar es salaam 550 M USD , niendelee?Ok, unaweza kunitajia hiyo miradi japo mitano ambayo ni massive aliyoanzisha ili tujaribu kufanya comparison?
Mwamba huwa unawapiga na vitu vizito mpaka wameanza kukuchukia, imagine hapo ni CBD, alafu kwa pembeni naliona lorry la Isuzu linalobeba abiria ambalo lina thamani kuliko Youtong ya mchina, wakenya wababaishaji sn aisee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tupate wadhamini kutoka Nairobi City Centre ( the so most developed city in Africa)
This is kenyatta Avenue october 2024
View attachment 3128481
Oya wakuu, kwenye hii picha kuna umaskini wa kutisha, road imechoka mnoo na haina road sign, pembeni kuna lorry na haijulikani ni brand ipi mana halina jina 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwamba huwa unawapiga na vitu vizito mpaka wameanza kukuchukia, imagine hapo ni CBD, alafu kwa pembeni naliona lory la Isuzu linalobeba abiria ambalo lina thamani kuliko Youtong ya mchina, wakenya wababaishaji sn aisee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
12 km from Dar CBD 👇🏾And the what’s between the 11km in mashamba ya mihogo.
Ni "intanashono"Wamesahau neno intaneshino. 😂😂😂
Unfortunately Ndio uwezo wao unapogotea!Wamesahau neno intaneshino. 😂😂😂
Sasa ulitaka aimalizie akiwa kaburini? Kama hii mingine yote aliianzisha na mnaimalizia mnashindwaje kumalizia hiyo mingine, tuache kujificha kwenye kivuli cha marehemu, alituanzishia kwa lengo zuri ni kazi yetu kuimalizia, tofauti ya magu na marais wengine ni kwamba yeye alithubutu, hao wengine waliogopa hata kuthubutu, wakaishia kujitajirisha wenyewe. Tumpe heshima yake tuendelee kujenga taifa.Burundi anamzigo wa nickel na cobalt na kabanga Kuna nickel. Makadirio ni 2mil ton per year , hayo ni zaid ya malori 178 kwa Kila siku hapo hujaweka mizigo mingine , kama songea tu makaa ya mawe watu wanachemka na ni karibu , itakuwaje kigoma na kumbuka Kuna mizigo mingi inapitia Zambia kuingia kongo, wakati upande wa pili trc wameingia makubaliano na kongo kurekebisha reli ili ilifike Lubumbashi ,
Kabla ya yote ebu tuangalie miradi pending ambayo imeachwa bila kukamilika , magu alianzisha miradi mingi na ambayo mingi hakuweza ikamilisha
Sasa kipi Bora kuanzisha miradi mipya au tumalizie viporoTANROADS Official Website :: Projects
www.tanroads.go.tz
Sasa tunawacheka Adani hapo Kenya kwani Tz Adani si kapewa some container terminals? DPW kapewa nae few berths. Na sasa tunatumia hela zetu tena kutengeneza bandari au DPW ndio katoa hela.thank u adani 😂😂😂😂
View attachment 3128533
DP world na adani kwa tanzania ni waendeshaji sio wajenzi tofaut na kenya, mfano JKiA adani anatumia pesa zake kujenga terminals au kufanya ukarabati upya kabisaSasa tunawacheka Adani hapo Kenya kwani Tz Adani si kapewa some container terminals? DPW kapewa nae few berths. Na sasa tunatumia hela zetu tena kutengeneza bandari au DPW ndio katoa hela.
Imeshauzwa hiyo 😁thank u adani 😂😂😂😂
View attachment 3128533
😂😂😂😂😂
View: https://x.com/asswetooo/status/1846551505924428176?s=46
View: https://x.com/sholard_mancity/status/1846548043601977381?s=46
View: https://x.com/twiga45/status/1846600498788671976?s=46
View: https://x.com/_mokeira/status/1846558455751954691?s=46
View: https://x.com/vinkelforex254/status/1846547185531322398?s=46
View: https://x.com/thekevinbett/status/1846559899154559025?s=46
View: https://x.com/nyayojnr/status/1846552327164981311?s=46
View: https://x.com/sylvestercson/status/1846562273340379347?s=46
View: https://x.com/_jorgi3/status/1846572811403350296?s=46
View: https://x.com/joseph1_nduti/status/1846574714090578022?s=46
View: https://x.com/yoyoutd/status/1846823758503260592?s=46
View: https://x.com/jaypaulke/status/1846571855722807505?s=46
Watu wa kelele na midomo mingi huku zero vitendo!Wakuu oneni stadium tuliyoletewa humu juzi na hawa vichaa, oneni hiyo pitch, alafu hawa ndiyo wanataka kuandaa Afcon na Tanzania hawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3128554
Oyaa msidhani masihara, oneni viti hivyo, yani vile viti vya bar ndiyo wameviweka kwenye stadium, alafu kuna mbwa mmoja akapost humu kwamba hii ni stadium, Kenya ni mavi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇
View attachment 3128555
Wallahi nawaambia hawa wasenge hawaandai Afcon, just imagine hawana hata viwanja vya kufanyia mazoezi timu shiriki so far, wakenya hawana akili hakiyamama, wanadhani kuandaa michuano ni kuwa na kauwanja kamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣