concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,312
- 14,350
Sawa bossOk, unaweza kunitajia hiyo miradi japo mitano ambayo ni massive aliyoanzisha ili tujaribu kufanya comparison?
1.Ujenzi wa madarasa 12,000= bil 240 umekamilika
2.ujenzi wa shule 25 za wasichana kwa Kila mkoa bil 106.6
3. Phase 3 ,4 ,6 yote hiyo ya sgr yote Iko katika hatua za ujenzi ni itakamilika , phase 3 washamaliza kifusi karibia njia nzima phase 5 sijaweka kwa sababu aliizindua magu ila ujenzi umeanza kipindi Cha Samia.
Maboresho ya shule kongwe kwa halmashauri 183 @650,000,000
Kuna ujenzi wa emd kwa halmashauri zote @ 250,000,000
Ujenzi wa shule mpya Kila halmashauri sekondari
650,000,000
Hiyo ni upande wa tamisemi
Idara ya maji
Maji toka mto ruvuma chini ya ruwasa= 30bil
Hapa ukiingia ruwasa utakutana na orodha ya hiyo miradi ni zaid ya 20
Na yote Iko katika hatua kubwa na imeanza mwaka 2023
Hatumlaumu ila hata kama alianzisha miradi je alifikisha hata nusu ya miradi aliyoianzisha.Sasa ulitaka aimalizie akiwa kaburini? Kama hii mingine yote aliianzisha na mnaimalizia mnashindwaje kumalizia hiyo mingine, tuache kujificha kwenye kivuli cha marehemu, alituanzishia kwa lengo zuri ni kazi yetu kuimalizia, tofauti ya magu na marais wengine ni kwamba yeye alithubutu, hao wengine waliogopa hata kuthubutu, wakaishia kujitajirisha wenyewe. Tumpe heshima yake tuendelee kujenga taifa.
Kumbuka aliingia 2015 na mpaka anaondoka barabara ya tabora itigi ilikuwa imesimama hakuna Hela na miradi mingi ilikuwa imesimama.
Bosi Kuanzisha miradi kwa mihemuko ndo kilichotuponza enzi za marehem.
Mind you watu walisugua benchi miaka 5 bila nyongeza ya mshahara Wala kuajiriwa tukiambiwa tunajenga nchi. Sasa kama inajenga reli au barabara ila huwawezeshi watu kupata mlo nani angepanda .
Watu wanaona mabaya ya Samia kwa sababu kaamua kuwa mkimya kipindi Cha magu tulifungwa hatukujua kinachoendele