Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Have you ever realized that electric bikes are now almost everywhere in Nairobi. There was a time I was in a hurry and wanted to escape traffic jam, so o decided to call a Bolt Motobike and what came was the electric one. That was not the first time something like that happened to me.

I now wish that Basigo should also try battery loaded enough to support long distance buses. They should consider batteries with a capacity to support around 2,000km on a single charge so that a bus can move from Mombasa to Busia with that charge the on arrival in Busia they do a recharge.
Alafu utaletewa screenshot nyingine hapo unasema they have more electric vehicles.🤣🤣
 
Nairobi Skyline is now pregnant for a 60 floor building of above 250+ Meters. We are niw bored with the numerous 30+ floors coming up everywhere in Nairobi.

There was a time Tanzanian had guts of comparing buildings above 30 floors between Nairobi and Dar not knowing that they will give up in the middle of the race.


View attachment 3128287
Pale Dar ungeandikiwa '11km from CBD'🤣🤣🤣
 
Watz wengi kwenye media huwezi sikia wanaiponda kenya wala kuisema vibaya kenya...hata kama wanaona mambo flani hayako sawa. Watamute na kuwaachia wakenya wajisolvie wenyew.

Wakenya ndo husema vibaya Neighbours zao mara they don't know english, mara mtunge story eti Tanzanians hate kenya , mara Why 50kph, mara treni yetu haina self printing mashine, mara Tanzanians are lazy wakati you buy food from Tz. Mara watz ni waoga hawaandamani...mara Tanzanians are chasing black Americans yaani mambo kibao kuhusu Tanzania mpaka sisi tunawashangaa.

Actually only kenyans have something bad to say about Tanzania. Na ikitokea mtu akaisema vibaya Tanzania hasa mzungu basi wakenya watasaport hata kusema uongo. Refer Kino Vves.

Anyway Tunaishi nanyi hivyo hivyo.
Wana wale malaya wa kiume 2 AA,basi kutwa kushinda mitandaoni AA wanakimbia TZ,kunyan yuko negative na kila kitu cha TZ!
 
If you think Zambia has more malls than Kenya then you've clearly never been to both countries.

Alafu ni kawaida yenu kubash kitu ambacho hamna. Leo mnasema mall zinaharibu uchumi, kesho mall ikianza kujengwa kwenu Kila siku picha humu.
[/QU Mimi sijawaiona faida ya Mall Kwa watu wa kawaida. Tanzania local market ni nzuri Sana na ni Safi. Unapata bidhaa yako katika Hali ya usafi Tu
 
Boss , serikali hii haiwezi pata akili , mna waziri wa fedha mkora kupindukia, plus mama nae hajui hata kinachoendelea kwenye nchi anayoiongoza, actually mama uwezo ni wa kawaida sana upstairs. Plus viongozi wenu they don’t feel the pinch sababu hawatumii hiyo barabara wao wanasafiri kwa ndege ,
Unadhani ile B500 walitumia kununua mashangingi LC 300 new model ikiwa bado magari ya zamani wanayo si wangepeleka huku ?
Yaani ikiwa Daraja la Jangwani linachukua miaka nenda Rudi kushughulikiwa wala haishangazi kuona barabara ya Kibaha Morogoro inachukua miaka 10 mingine.
Mbona Magufuri aliamuwa siku moja kimara ikajengwa
 
Back
Top Bottom