Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unakuwanga na shida ya kuingilia mijadala huelewi. Hivi Marsabit na Nairobi wapi na wapi?
Umesema kuwa hiyo document iliyoletwa ni ya zaman haiwezekani marsabit ikawa na km 2 , lakini unataka tuamini kuwa Nairobi Iko na km1600+ kulingana na hiyo document . Kama unasema tusiamini hiyo document basi kubali Kila kitu kilichoko kwenye hiyo document tusikiamin.
 
You're the liar (the word is liar, not lier). You lied Marsabit has only 2km of paved roads and your fellow vumbistani concordile 101 took it and ran with it. I've easily proved your assertions to be miles from the truth with a single road.

..... and of course there are more than 600km of unpaved roads in Northern Kenya. However there are also thousands of paved roads in the same region. You saying only 2km of roads in Marsabit are paved with confidence is classic of you pretending that you know something first hand when you know nothing.

PS, Kenya has google street view. You can literally 'drive' on the road I gave you on your computer and confirm.
 
Umesema kuwa hiyo document iliyoletwa ni ya zaman haiwezekani marsabit ikawa na km 2 , lakini unataka tuamini kuwa Nairobi Iko na km1600+ kulingana na hiyo document . Kama unasema tusiamini hiyo document basi kubali Kila kitu kilichoko kwenye hiyo document tusikiamin.
Sijaongelea Nairobi Mimi. Nimewatumia tu Barabara Moja ya KM 365 County ya Marsabit ambayo mnasema ina KM 2 pekee za lami. Ndio maana nakwambia unapenda kuingilia mambo usiyoelewa.
 
How does this prove you're not a liar?
Umekalia the liar the liar...hii si amepost teargas mwenyew
Nyinyi si mnapenda data. Tuwaaminije
downloadfile-66.png
 
Unakuwanga na shida ya kuingilia mijadala huelewi. Hivi Marsabit na Nairobi wapi na wapi?
1729174820209.png

Kumbe haya sio maelezo yako.
Acha kukurupuka umeanza kuniquote Sasa hii unakataa Nini.

You're the liar (the word is liar, not lier). You lied Marsabit has only 2km of paved roads and your fellow vumbistani concordile 101 took it and ran with it. I've easily proved your assertions to be miles from the truth with a single road.

..... and of course there are more than 600km of unpaved roads in Northern Kenya. However there are also thousands of paved roads in the same region. You saying only 2km of roads in Marsabit are paved with confidence is classic of you pretending that you know something first hand when you know nothing.
 
Sijaongelea Nairobi Mimi. Nimewatumia tu Barabara Moja ya KM 365 County ya Marsabit ambayo mnasema ina KM 2 pekee za lami. Ndio maana nakwambia unapenda kuingilia mambo usiyoelewa.
Wewe ndo huelewi kwani hii nani kaleta sio nyinyi? Kwani hili ni gazete la wapi ? Basis ya argument Iko hapa, kama unakataa ndo ungesema kwa kueleza kuwa hiyo barabara iliyoletwa
1729175473362.png
 
Wewe ndo huelewi kwani hii nani kaleta sio nyinyi? Kwani hili ni gazete la wapi ? Basis ya argument Iko hapa, kama unakataa ndo ungesema kwa kueleza kuwa hiyo barabara iliyoletwa
View attachment 3127862
Sasa mbona unaamini ya Marsabit na huamini ya Nairobi? Alafu hilo gazeti la mwaka Gani maanake I've already proven to you that there's a 365km tarred road in Marsabit?
 
Sasa mbona unaamini ya Marsabit na huamini ya Nairobi? Alafu hilo gazeti la mwaka Gani maanake I've already proven to you that there's a 365km tarred road in Marsabit?
Mimi Sijaleta Hilo ameleta mwenzako kama ushahidi kuwa mna barabara nyingi labda umcheck wewe akupe tarehe na Mimi nimepiga makusudi kwa sababu mwenzako alilenga kutupotosha kuwa Kuna km nyingi akirelate na dar kwa document ya 2014 . Mwenzako ndo alitaka kudanganywa hapa akasahau kuwa Dunia hii hudanganyi na hakutaka kuweka document nzima hapa akijua tutamuumbua. Hii document ilikuwa inazingumzia barabara za mitaan, sio highway.
conclusion Mimi sijadanganya ila mwenzako kama kawaida ndo alitaka potosha. Nakubaliana na video yako kwa sababu nimetembelea moyale mwaka jana
 
Magufuli aliamua tu siku moja akajenga Kimara mpaka Kibaha 19km, angekuwepo mpaka leo hio barabara ingekuwa ishafika Chalinze.
Tanzania sio Dar pale yake ,tuna obligation za Mikoa mingine so usitupigie kelele zisizo na msingi
 
Mnapenda sana wawekezaji? Kisa nini?

$3bn haiwezi tengwa kufikisha njia 6 Morogoro na kujenga Six way lane outer rings roads kwenye mikoa yenye traffic kubwa ya magari kuingia na kutoka. Mbona JNHPP iliwezekana, Busis iliwezekana, ufufuaji wa ATCL uliwezekana, MAGUFULI CITY iliwezekana.

Ndio tushindwe hizo. Ikiwa mnakusanya sijui $2bn kwa mwezi why msitenge $100m kila mwezi kwenye kujenga Dar Moro Expressway.

Mbona Kimara Kibaha iliwezekana kabisa plus Mkandarasi ni wa Ndani Estim Construction? Mbona tukilipa pesa inazunguka hapa hapa, Mind you now wachina ni wengi hapa hawatakua na shida for Equipment Hire.

Priority, PPP ufala tu. PPP zifikiriwe nchi ikiwa na stability ya uchumi not now mtu aje na kamtaji mbuzi kuvuna kwenye rasmali za nchi za Matrilion.

Mambo ya sijui kusubiri wawekezaji JNHPP tusingekua nayo, Railway tungekua na Mtungi wa chang'aa, Umeme ungekua kero, Airports zingekua zimechakaa, Tungekua bado tunazunguka Kenya kuingia mara kutokea Arusha, EACOP ingeenda, Kuhamisha makao Dodoma zingekua story.

Tukitaka naendeleo ya Kweli yenye tija ishaonesha we Have to DO IT OURSELVES, HAKUNA MTU WA NJE (MWEKEZAJI) anaweza FANYA MAMBO MAKUBWA KWA NCHI unless hii NCHI INAJITAMBUA (LIKE WEST) Na KUJITAMBUA KUNAKUJA KWA KUONESHA UNAJIWEZA BILA MSAADA WOWOTE.
Kama mlijua Barabara ni za muhimu Kwa nini mlitumian 10.7T kujenga reli km 722 na miundombinu yake?

Huu ndio ufala Sasa,hiyo pesa inatosha kujenga expreway Barabara zote kubwa hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom