Upigaji ni dhana , upigaji hapa Tanzania upo ila haufiki hata 30% ya pesa za Umma.
Shida ya Nchi hii ni poor strategic decion making
Vipaombele vya kipuuzi na
Ujenzi wa kutsoanya Rasilimali badala ya kuanza na chache kuzikamikisha Kwa wakati ndio zingine zifuate.
Wengi hawajui kinachoendelea na mara nyingi tunakimbilia kuwa Kuna upigaji bila hata kufanya comparison na wenzetu , wengi tunafanya comparison kipindi Cha magufuli kwamba alifanya mengi na kumshusha mama Samia kwamba kwa kipindi chake ni upigaji tu bila kuangalia yaliyofanyika ndani ya kipindi chake. Wabongo tunapenda uongozi wa kuumizana , mfano watu wakiona utumbuaji wa hadharan wanajua ndo kazi inafanyika kumbe underground watu wanajipigiq .
Reli ni muhimu sana katika kukuza uchumi maana inashusha gharama ya usafiri hivyo kushusha gharama ya bidhaa.
Mataifa kama china na japan wamefanikiwa sana mchango mkubwa ukiwa ni pamoja na reli kwa sababu imewarahisishia kusafirisha bidhaa zao kwa gharama ndogo wakicompete na mataifa kama marekani ambao kwao reli Bado sana.
Kwa mfano kutoka songea- dar tonne 1 ya mahindi inatozwa 150,000 mpaka 160,000 kwahiyo ukiwa na tonne 30 unahitaji 4,500,000 lakini kwa Bei za trc kutoa mzigo kama huo kigoma kwa wameweka 1,500,000 Sasa kama kungekuwa na reli haya mahindi yangeweza kufika dar Bei rahisi na ndo maana mazao ya songea Huwa ya mwisho kabisa mpaka mikoa mingine kama moro, Dom,manyara yaishe ndo waanze kufuata huko.
Na huko barabara ni ya lami mpaka dar, lakini kutoka na wingi wa malori hasa ya makaa ya mawe barabara karibia zote za kuingia songea zimeharibika na tukisema tujenge barabara nzito kwa km SI chiini USD 1mil kwa barabara ya mfano wa iringa makambako na Bado zitakuja haribika tu