Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Doh bro mbona unajikanganya sana!?
Hizo bei zenu za supermarket zenu mnazodai ni cheaper ni kubwa sana kwetu sisi je walijua hilo!?
Hata bei za supermarket zetu tukilinganisha na zenu bado zenu zinaonekana ziko juu.
Je walijua hilo buddah!?
Sasa unabishana nini? Nimekuambia Kenya, bidhaa kwa supermarket ni cheaper than kwa duka za mtaa, that's why tuna malls/supermarket mingi ju customers ni wengi. On the other hand, bongoslum duka za mtaa are a cheaper than supermarkets/malls.
 
The part of Nairobi - Moyale road (A2) that is in Marsabit County alone is 365km and it's all tarred. Bro, are you just arguing to keep the argument going?🤣🤣

View attachment 3127632
Nimesoma hapa mimi.....kwenye gazeti alilopost teargas..

May be ni new road. Nyinyi watu ni best liers. Ngoja nifanye utafiti kama hakuna 600km of unpaved roads in Nothern kenya
downloadfile-66.png
 
Kubali umekosa paved streets, wacha kulialia na ni wewe ulianza comparison ya Mangaka na Marsabit.
🤣 🤣 🤣 Sasa baada ya kukupiga kama mbwa umeanza kujitetea.
Discussion ilianzia kuwa marsabit Ina road network ya 2km haikuspecify ni regional au local , namimi nimechomuwekea hapo ni amount ya roads zilizopo kwa Mangaka na zilizomalizika mpaka Leo hii.
Leta regional roads za marsabit tufanye comparison na kwa kuongeza nanyumbu is only a district na kwa level county at least ungesema municipal council.
Katika categorization mitaa ya nanyumbu inahesabika Bado ni vijiji , ikifikia level ya municipal basi ndo tunaweza SEMA Kuna mitaa. Kwahiyo unakubali Kijiji Cha nanyumbu kina km nyingi kuliko marsabit county.
Je ni unaikataa hiyo taarifa inayosema marsabit county Ina km 2 na haijaspecify kuwa regional, international au local
 
Sasa unabishana nini? Nimekuambia Kenya, bidhaa kwa supermarket ni cheaper than kwa duka za mtaa, that's why tuna malls/supermarket mingi ju customers ni wengi. On the other hand, bongoslum duka za mtaa are a cheaper than supermarkets/malls.
Pia nimesema hata ukilinganisha bei za supermarket za bongo na KE bado za KE zipo juu kuliko za bongo.
Anyway sawa tufanye yameisha.
 
Hii msalato airport ingekua ukunyan tungeambiwa ni daily dose,look arusha airport kimya kimya ilipokamilika "booom" kunyan wote wametoa salute kimoyo moyo,imagine local airport kama arusha inafunika international airport ukunyan!
Umesahau Kuna ringroad inajengwa dodoma, kiwanja Cha mpira Arusha na hakuna anauehangaika napo
 
Discussion ilianzia kuwa marsabit Ina road network ya 2km haikuspecify ni regional au local , namimi nimechomuwekea hapo ni amount ya roads zilizopo kwa Mangaka na zilizomalizika mpaka Leo hii.
Leta regional roads za marsabit tufanye comparison na kwa kuongeza nanyumbu is only a district na kwa level county at least ungesema municipal council.
Katika categorization mitaa ya nanyumbu inahesabika Bado ni vijiji , ikifikia level ya municipal basi ndo tunaweza SEMA Kuna mitaa. Kwahiyo unakubali Kijiji Cha nanyumbu kina km nyingi kuliko marsabit county.
Je ni unaikataa hiyo taarifa inayosema marsabit county Ina km 2 na haijaspecify kuwa regional, international au local
Of course Marsabit county haina 2km of paved roads, you can confirm it on Google maps hata sahii. Report inaweza kua ya kitambo and overtaken by events.
 
Nimesoma hapa mimi.....kwenye gazeti alilopost teargas..

May be ni new road. Nyinyi watu ni best liers. Ngoja nifanye utafiti kama hakuna 600km of unpaved roads in Nothern kenya
View attachment 3127721
You're the liar (the word is liar, not lier). You lied Marsabit has only 2km of paved roads and your fellow vumbistani concordile 101 took it and ran with it. I've easily proved your assertions to be miles from the truth with a single road.

..... and of course there are more than 600km of unpaved roads in Northern Kenya. However there are also thousands of paved roads in the same region. You saying only 2km of roads in Marsabit are paved with confidence is classic of you pretending that you know something first hand when you know nothing.

PS, Kenya has google street view. You can literally 'drive' on the road I gave you on your computer and confirm.
 
Of course Marsabit county haina 2km of paved roads, you can confirm it on Google maps hata sahii. Report inaweza kua ya kitambo and overtaken by events.
Lakini ndo mmeileta Sasa sisi tumedili na hiyo mliyoleta ni kama vile ambavyo mnaleta kuhusu Tanzania za miaka ya nyuma. Kwahiyo tunakubaliana Sasa kuwa twende ripoti za Sasa na sio za miaka ya nyuma ili discussion ipendeze sio?
 
You're the liar (the word is liar, not lier). You lied Marsabit has only 2km of paved roads and your fellow vumbistani concordile 101 took it and ran with it. I've easily proved your assertions to be miles from the truth with a single road.

..... and of course there are more than 600km of unpaved roads in Northern Kenya. However there are also thousands of paved roads in the same region. You saying only 2km of roads in Marsabit are paved with confidence is classic of you pretending that you know something first hand when you know nothing.

PS, Kenya has google street view. You can literally 'drive' on the road I gave you on your computer and confirm.
Who is the liar btn I and the one who brought the document.
Ningekuwa ni Mimi nimeleta screenshot sawa ila kaleta mwenzenu , kwahiyo hata hizo km 1600 anazosema zipo Nairobi ni uongo mtu.
The argument was based on screenshot presented by your fellow kunduweller
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Read to understand. They say National grid. Kagera alone 80% inatumia umeme nje ya Grid

Bukombe to Mtukula is 400km
Nyakanazi to Rusumo is 107km
Nyakanazi to kobelo is 137km
Bukoba to Rubafu is 50km
Muhutwe to Kamachumu, nshamba 50km
Kyamyorwa to Muganza 65km
Bukoba to karagwe 100km
Bukoba Mugana via katoma 25km
Total 934km

Those are just Main roads in Kagera... don't count other street roads that are tarmac

Nyinyi mnapika data tu
Ukiwaambia walete hapa evidence ya 2000km tuu wanapotea.
 
Leta taarifa moja inayoongelea kuhusu Tanesco na Kenya Power.
Tumia bongo. Ukitaka taarifa kuhusu Tanesco, unaenda Tanesco. Ukitaka Kenya Power, vile vile.

Unachokosa kusema ni kama nilichoandika ni uongo ama ukweli.
Hio ingine yote ni sideshows.
Haya weka megawatt mnazozalisha tulinganishe 😁
 
Who is the liar btn I and the one who brought the document.
Ningekuwa ni Mimi nimeleta screenshot sawa ila kaleta mwenzenu , kwahiyo hata hizo km 1600 anazosema zipo Nairobi ni uongo mtu.
The argument was based on screenshot presented by your fellow kunduweller
🤣🤣🤣🤣🤣
Unakuwanga na shida ya kuingilia mijadala huelewi. Hivi Marsabit na Nairobi wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom