Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bukina faso ? Em watupunzishe na story za kingese. Mradi wa Barabara ya Highway Kibaha - Morogoro kwa sasa ni Priority, serikali iwe serious kwenye hili, Story ni nyingi sana kuliko matendo. Tabu sana kuongozwa na School dropout with average iq.
Ndio mpaka wawekezaji wa PPP wapatikane sio tuu walioo tayari Bali wenye uwezo pia.

Stori zimekuwa nyingi Kwa sababu hawajapatikana.

Mwisho hivi Mwekezaji gani atajenga Barabara Kwa vipisi vipisi kiasi hicho atapataje faida? Kwa nini isiwe Barabara yote kuanzia Dar-Moro-Dom?
 
Miongoni mwa Ishara kuwa nchi imeendelea tazama miundombinu na magari barabarani,
Pale utaona watu wanaendesha magari yaliyo mengi ya mwaka 2002 , proboxes kama zote kama ilivyo Nairobi, ni wazi hiyo nchi ni fukara na wananchi ni mafukara tupu .
Tazama barabara hii ya Cape Town kisha ona magari Road , ni wazi South Africans walio wengi wananunua magari at 0km,
Wakati nchi fukara kama Kenya it’s only the kikuyu/kalenjini government that buys 0km Cars at the overpriced prices prompted by corruption and bribes .
D9DF972A-7194-4F1A-955D-629B839766FC.jpeg
 
Ndio mpaka wawekezaji wa PPP wapatikane sio tuu walioo tayari Bali wenye uwezo pia.

Stori zimekuwa nyingi Kwa sababu hawajapatikana.

Mwisho hivi Mwekezaji gani atajenga Barabara Kwa vipisi vipisi kiasi hicho atapataje faida? Kwa nini isiwe Barabara yote kuanzia Dar-Moro-Dom?
Kwaiyo kama wawekezaji hawapatikani tutakaa hivyo ? Mbaya zaidi mmeweka wajinga kama kina kafulila pale , mnategemea nini ? Mbaya zaidi mama yenu hata hajui kinachoendelea maskini ya Mungu .
Hiyo barabara kutoka chalinze kuja Dar ni Kero kubwa. December nilikuwa na watoto kidogo tulale njiani. Kero kubwa.
Sidhani kama serikali haiwezi pata usd 400milioni kufikisha hii barabara Walau Morogoro.
 
Tutaendelea na ujenzi traditional construction mode yetu ya siku zote.

Tuma maombi tukuweke wewe 😀😀

Mwisho acha dharau kisa umeona Burkina Faso,kabla ya kampuni ya IntraCom fertilizer ya Burundi hatukuwa na kiwanda chochote Cha mbolea kikubwa , uwekezaji wao ni sawa na Dangote wa Mtwara.

Wewe ni sawa na wale ambao Tulia amewa mock huko Ulaya Kwa kuwa na mawazo ya kizamani.
 
Huyo tulia amalize tu vumbi la mbeya hapo tutamuona wa maana kuliko chochote . At least tutamkumbuka kwa hilo.
 
Lakini majengo ya City center si yanaonekana? KICC ileeeee 👇👇😂😂View attachment 3127005
Kataa na hapa 👇👇😂😂😂😂View attachment 3127008
Nairobi yote ni ushuzi kushoto kulia, imagine hii ndiyo CBD yao👇👇😂😂😂😂😂😂View attachment 3127009
A simple walk in Dar CBD vs a walk in Nairobi CBD.., tofauti kubwaaa!!.., mko nyuma sanaaaaa!! CBD moja zaidi ya hapa hamna nyingine na Nairobi Old CBD bado inailaza!! Dar ni Mombasa tu
Dar

View: https://youtu.be/JhDE7mtHhCM

View: https://youtu.be/iUGboQnpqdU

in Nairobi ni CBD pekee, hakuna Westlands, Upper Hill, Eastleigh, Parklands or Kilimani..., Dar iko miaka 50 nyuma ya Nairobi., BRT isiwadanganye vilaza
NBO

View: https://youtu.be/imuiMX6Kyyo

View: https://youtu.be/VNLqnwoJqmM
 
Burkina Faso? Tuache utani!
Utani gani hapo? Burundi imewezaje kuijengea Tanzania kiwanda Cha mbolea Kwa zaidi ya Bilioni 500? Vipande hivyo vya Barabara kuna ya zaidi ya pesa hiyo?

Mumeambiwa wameonesha Barabara za kulipia walizojenga unatoa povu kisa Burkina Faso 😁😁
 
Back
Top Bottom