Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio Mangaka town yenye ikona paved urban road moja pekee na inaishia kwa office ya DC. 🤣 🤣 🤣 Bongoslum munahesabu highway kama urban road. 🤣🤣🤣
Pole sana Mangaka - mtambaswala
0.950km main road the council
1 km kuzungukia kilimanihewa kuja stendi mpaya
850mt kwenda hospitali
Marsabit ngap
ni wapi sio nanyumbu
Anyway tuje kwenu inakuwaje county nzima ya marsabit Ina km 2?
Na kukuongezea nanyumbu ni kamji kadogo sana ila kana barabara nyingi kuliko marsabit
 
Wewe unaelewa mjadala ama unakimbilia tu kupayuka tu?🤣

Anyway, the two furthest towns from each other in Kenya ni Lungalunga na Lokichoggio (1409km) na kutoka Moja Hadi nyingine ni full tarmac. Ama ulitaka tujenge Hadi tuingie nchi jirani tukufurahishe?🤣

View attachment 3127671
Ohh furthest point ni mtambaswala- bukoba na yote ni paved na Kuna option mbili ambazo zote paved

Hapo ukitoa hizo zenu unabaki na balance ya kiasi gani
Screenshot_2024-10-17-14-57-01-71_3d9111e2d3171bf4882369f490c087b4.jpg
 
Pole sana Mangaka - mtambaswala
0.950km main road the council
1 km kuzungukia kilimanihewa kuja stendi mpaya
850mt kwenda hospitali
Marsabit ngap
ni wapi sio nanyumbu
Anyway tuje kwenu inakuwaje county nzima ya marsabit Ina km 2?
Na kukuongezea nanyumbu ni kamji kadogo sana ila kana barabara nyingi kuliko marsabit
Ukinionyesha four streets in Mangaka town with paved roads kama hizi za Marsabit nafunga hii account sahii. 🤣 🤣 🤣 Towns zenu mingi zimejaa unpaved roads, streets ni vumbi tupu.

ScreenShot Tool -20241017150220.png
 
Eti hakuna faida? Unajua maana ya convenience kweli? The retail market in bongoslum is very informal ndio kwa maana wengi wenu hamfanyi shopping kwa supermarkets/malls ju bei ziko juu sana. Kenya supermarkets are cheaper than local shops. Ndio kwa maana kila mtaa utapata ina mall ama big supermarket chain.
Kila kitu kinaundwa ili kufikia raia wa rika zote.
Kama vitu ni cheaper kwa malls kwanini mnaandamana vyakula kupanda bei!??
Unaweza ukanipa jibu!?
Sisi sio mabanda tu bali HADI MASOKO MAKUBWA vitu bei ni rahisi saanaaa.
Je masoko ya serikali nayo ni informal!?
Ndio maana nikamwambia jamaa yako sisi tumelenga masoko ya bidhaa sio hizo malls.
 
Kama kawaida mkifinywa lazima mshift goal post, nilisema bidhaa kwa supermarkets ni cheaper than kwa duka ndogo za mtaa, mambo ya maandamano umetoa wapi sasa?
 
Kama kawaida mkifinywa lazima mshift goal post, nilisema bidhaa kwa supermarkets ni cheaper than kwa duka ndogo za mtaa, mambo ya maandamano umetoa wapi sasa?
Nimeshift goals in how buddah!?
Ndio nimekuuliza kama ni cheaper than kwenye maduka kwanini mnalalamika bidhaa ghali kiujumla??
 
Nimeshift goals in how buddah!?
Ndio nimekuuliza kama ni cheaper than kwenye maduka kwanini mnalalamika bidhaa ghali kiujumla??
Comparison ilikua bei za supermarket na za local shops, mambo ya bei kwa ujumla si ni wewe umekuja nayo while trying to force a narrative.
 
Kila kitu kinaundwa ili kufikia raia wa rika zote.
Kama vitu ni cheaper kwa malls kwanini mnaandamana vyakula kupanda bei!??
Unaweza ukanipa jibu!?
Sisi sio mabanda tu bali HADI MASOKO MAKUBWA vitu bei ni rahisi saanaaa.
Je masoko ya serikali nayo ni informal!?
Ndio maana nikamwambia jamaa yako sisi tumelenga masoko ya bidhaa sio hizo malls.
Pia target ya serikali yetu ni kubalance gap kati ya maskini na tajiri , ndio maana ukiangalia sana imekomalia sana ujenzi wa masoko ili wale wananchi wenye mitajo midogo wameweze kuwa na sehem rasmi ya kuuzia bidhaa zao badala ya kuvutia watu wajenge malls ambazo mwisho wa siku wanafaidika wachache sana .hata ukiangalia ujenzi wa stendi kwa ajili ya kuwezesha watu wenye mitaj midogo kuweza kupata mazingira ya kuuzia biashara zao.
 
Comparison ilikua bei za supermarket na za local shops, mambo ya bei kwa ujumla si ni wewe umekuja nayo while trying to force a narrative.
Doh bro mbona unajikanganya sana!?
Hizo bei zenu za supermarket zenu mnazodai ni cheaper ni kubwa sana kwetu sisi je walijua hilo!?
Hata bei za supermarket zetu tukilinganisha na zenu bado zenu zinaonekana ziko juu.
Je walijua hilo buddah!?
 
Back
Top Bottom