Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiv kiburi nyinyi watu wa serikali mnakitoaga wap

Yaan hamshauriki, hamuambiliki, yaan ni ego tu.
Akili zenu zinakaa sawa mkishatoka madarakani.

Anyway Time is the best teacher
Kwani Tanzania ni Dar peke yake? Tuna Barabara za Mikoa zaidi ya 15 hazijaunganishwa na Lami
 
Ukinionyesha four streets in Mangaka town with paved roads kama hizi za Marsabit nafunga hii account sahii. 🤣 🤣 🤣 Towns zenu mingi zimejaa unpaved roads, streets ni vumbi tupu.

View attachment 3127681
Wapi ushahidi kwamba hapa ni Marsabit? Nani asiyejua kwamba sehemu maskini zaidi East and central Africa ni Marsabit? Prove kwamba hapo ni Marsabit mbwa wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watz wengi kwenye media huwezi sikia wanaiponda kenya wala kuisema vibaya kenya...hata kama wanaona mambo flani hayako sawa. Watamute na kuwaachia wakenya wajisolvie wenyew.

Wakenya ndo husema vibaya Neighbours zao mara they don't know english, mara mtunge story eti Tanzanians hate kenya , mara Why 50kph, mara treni yetu haina self printing mashine, mara Tanzanians are lazy wakati you buy food from Tz. Mara watz ni waoga hawaandamani...mara Tanzanians are chasing black Americans yaani mambo kibao kuhusu Tanzania mpaka sisi tunawashangaa.

Actually only kenyans have something bad to say about Tanzania. Na ikitokea mtu akaisema vibaya Tanzania hasa mzungu basi wakenya watasaport hata kusema uongo. Refer Kino Vves.

Anyway Tunaishi nanyi hivyo hivyo.
 
Miongoni mwa Ishara kuwa nchi imeendelea tazama miundombinu na magari barabarani,
Pale utaona watu wanaendesha magari yaliyo mengi ya mwaka 2002 , proboxes kama zote kama ilivyo Nairobi, ni wazi hiyo nchi ni fukara na wananchi ni mafukara tupu .
Tazama barabara hii ya Cape Town kisha ona magari Road , ni wazi South Africans walio wengi wananunua magari at 0km,
Wakati nchi fukara kama Kenya it’s only the kikuyu/kalenjini government that buys 0km Cars at the overpriced prices prompted by corruption and bribes .
View attachment 3127245
Magari in South Africa ni bei juu sana. Hawanunui bali ni mikopo, yote unayo yaona. Wanunuzi wa magari ni matajiri wakubwa tu.
 
Watz wengi kwenye media huwezi sikia wanaiponda kenya wala kuisema vibaya kenya...hata kama wanaona mambo flani hayako sawa. Watamute na kuwaachia wakenya wajisolvie wenyew.

Wakenya ndo husema vibaya Neighbours zao mara they don't know english, mara mtunge story eti Tanzanians hate kenya , mara Why 50kph, mara treni yetu haina self printing mashine, mara Tanzanians are lazy wakati you buy food from Tz. Mara watz ni waoga hawaandamani...mara Tanzanians are chasing black Americans yaani mambo kibao kuhusu Tanzania mpaka sisi tunawashangaa.

Actually only kenyans have something bad to say about Tanzania. Na ikitokea mtu akaisema vibaya Tanzania hasa mzungu basi wakenya watasaport hata kusema uongo. Refer Kino Vves.

Anyway Tunaishi nanyi hivyo hivyo.
Sasa nenda kwenye uhalisia hao wanamziki wenyewe
 
Why not Uganda or Rwanda or even our northern neighbors Ethiopia? ni jeuri na kiburi chenu, chuki na wivu mlio nayo kutokana na kulishwa propaganda kuhusu Kenya na wakenya..., so mnapata what u ask for., kama mngekua humble na mnajikubali mlivyo nani angejali na nyinyi? mbona msiwe kama Ethiopians, Somalis, Ugandans? mko na matatizo mmelishwa propaganda na wengi hamna uwezo wa logic and critical thinking, mnameza kile mnaambiwa na wanasiasa wenu hook, line and sinker! So jichunguze sana
 
Mbwa si ukona google maps kwa simu. Unaweza jiconfirmia.
Hahahahaaaa eti Marsabit, hiyo Marsabit imepita barabara moja highway tena juzi tu hapa na hakuna hata nyumba, umeenda Google earth ukaona kanisa linaitwa tu Marsabit uka crop ulivyo msenge uje uongopee watu, nani akaishi Marsabit hakuna umeme wala maji, hata hewa hakuna pia, ni sehemu fukara kuliko zote Africa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Why not Uganda or Rwanda or even our northern neighbors Ethiopia? ni jeuri na kiburi chenu, chuki na wivu mlio nayo kutokana na kulishwa propaganda kuhusu Kenya na wakenya..., so mnapata what u ask for., kama mngekua humble na mnajikubali mlivyo nani angejali na nyinyi? mbona msiwe kama Ethiopians, Somalis, Ugandans? mko na matatizo mmelishwa propaganda na wengi hamna uwezo wa logic and critical thinking, mnameza kile mnaambiwa na wanasiasa wenu hook, line and sinker! So jichunguze sana
Niliyosema yanajidhirisha hapa. Ukimwambia aprove anachosema anaishia mitini... always playing the victims...na mara nyingi mtu anayeplay victim ndo wa kwanza mwenye makosa

Nyinyi si ndo mnaandika manews papers na blogs kila kukicha hapa oh Mombasa port is getting more cargo because of Dar Inefficiences...have you ever seen a Tanzanian blogger talking of Inefficiences in kenya?
Hio ni vivid example tu kuwa nyinyi mnamatatizo na mnawahi kuplay victims

Sio nyinyi mliolipwa na france mprotest ujenzi wa EACOP...

Hiv jirani yako unaweza kutangazia Dunia mambo kama haya. Who hates Tanzania kama sio Kenyans. Do you know the problem you bring to business when you write an article like this.
1729182828273.jpg
 
Why not Uganda or Rwanda or even our northern neighbors Ethiopia? ni jeuri na kiburi chenu, chuki na wivu mlio nayo kutokana na kulishwa propaganda kuhusu Kenya na wakenya..., so mnapata what u ask for., kama mngekua humble na mnajikubali mlivyo nani angejali na nyinyi? mbona msiwe kama Ethiopians, Somalis, Ugandans? mko na matatizo mmelishwa propaganda na wengi hamna uwezo wa logic and critical thinking, mnameza kile mnaambiwa na wanasiasa wenu hook, line and sinker! So jichunguze sana
Nakupa homework nenda kwenye platform yoyote unayoijua wewe nenda kaweke debate kati ya Kenyans or Tanzanians nani wenye roho mbaya, chuki, majivuno, ushenzi na kila aina ya ujinga alafu rudi hapa.

Kuhusu kutokujiamini kati ya Kenyans or Tanzanians nani ambao hawajiamini, kutwa kucha kujimilikisha mali za Tanzania, kwenye mitandao ikitokea mtu kaisifia Tanzania kwa lolote lazima wakenya wadandie mbele kama inawahusu, hamjiamini kutokana na Tanzania kuizidi Kenya in almost every aspect kuanzia infrastructures, peace, food, hygiene, humanity, mpaka life expectancy. Kaeni kwa kutulia wasenge nyinyi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Niliyosema yanajidhirisha hapa. Ukimwambia aprove anachosema anaishia mitini... always playing the victims...na mara nyingi mtu anayeplay victim ndo wa kwanza mwenye makosa

Nyinyi si ndo mnaandika manews papers na blogs kila kukicha hapa oh Mombasa port is getting more cargo because of Dar Inefficiences...have you ever seen a Tanzanian blogger talking of Inefficiences in kenya?
Hio ni vivid example tu kuwa nyinyi mnamatatizo na mnawahi kuplay victims

Sio nyinyi mliolipwa na france mprotest ujenzi wa EACOP...

Hiv jirani yako unaweza kutangazia Dunia mambo kama haya. Who hates Tanzania kama sio Kenyans. Do you know the problem you bring to business when you write article like this.View attachment 3127978
Kenyans are our enemies and they need us to believe that they are our good friends 😂😂😂 ni watu wapumbavu sana ukanda huu.
 
Back
Top Bottom