Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiuhalisia hakuna faida ya malls economically.
Sio kitu kinachowagusa rika lote la raia.
Ni kitu luxurious tu.
Kitu muhimu masoko ya bidhaa raia wapate bidhaa kwa affordable price.
Humo katika malls raia wa chini hawezi gusa pia hata raia wa juu ni wanatapanya pesa.
Ikijengwa sawa tutapost ila sio kushadadia kama wengine mnavyoshadadia.
Ila mkiyajenga hapo Vumbistan mnajaza mipost humu sivyo?🤣
 
Wakenya ndo mmefanana na sokwe Kwa ushahidi zaidi mwangalie ruto na naibu wako
Nyinyi mnafanana na baboons. Look at this guy alafu unianmbie ati hafanani na baboon😂😂

IMG_0519.jpeg
 
Hapa bongo mtu unapiga tungi mpaka unasahau na huibiwi. Mambo ya kuibianq simu kwa kunyanganya yashapitwa na wakati. Sasa hivi Kila mtu Yuko busy kutafuta Hela. Mwakani utasikia
Tanzania kuongeza katika uzalishaji wa
1. Ufuta
2.mbaazi
3.dengu
4. Soya
Hayo ni mazao ambayo yanapigiwa chapuo Sasa kutokana na soko lake kutanuka. Kwa mwaka 2023/24 mkoa wa mtwara umeongeza uzalishaji wa ufuta kwa zaidi ya 50% ndani ya mwaka mmoja na matarajio kwa mwaka unatakao ishia 2024/2025 ni kuongeza zaid ya nusu ya mwaka uloishia
Hata kahawa ina soko sana Imagine Uganda anapata around USD 1.2bn na Rwanda anapata 800m kwa mauzo ya kahawa tuu sisi 250m wakati kahawa inalimwa sehemu nyingi tuu Tz.
 
Hata kahawa ina soko sana Imagine Uganda anapata around USD 1.2bn na Rwanda anapata 800m kwa mauzo ya kahawa tuu sisi 250m wakati kahawa inalimwa sehemu nyingi tuu Tz.
Hayo ni mazao ambayo hayakuwa maarufu bosi na ndo maana sijaweka korosho,mahindi,Michele na mengineyo ambayo ni maarufu
 
Kiuhalisia hakuna faida ya malls economically.
Sio kitu kinachowagusa rika lote la raia.
Ni kitu luxurious tu.
Kitu muhimu masoko ya bidhaa raia wapate bidhaa kwa affordable price.
Humo katika malls raia wa chini hawezi gusa pia hata raia wa juu ni wanatapanya pesa.
Ikijengwa sawa tutapost ila sio kushadadia kama wengine mnavyoshadadia.
Eti hakuna faida? Unajua maana ya convenience kweli? The retail market in bongoslum is very informal ndio kwa maana wengi wenu hamfanyi shopping kwa supermarkets/malls ju bei ziko juu sana. Kenya supermarkets are cheaper than local shops. Ndio kwa maana kila mtaa utapata ina mall ama big supermarket chain.
 
Tanzanian retail market is only Ksh 2.4B, that’s include both the formal (malls & stores) and informal (vibanda).
 
Zambia 🤣 🤣 🤣 Enyewe we ni fala.
Tembea muone...even Zambian kwacha is stronger than Kenyan shilling. 1kwacha is like 5ksh.

There are a lot of projects going on in zambia like Lusaka to Ndola Dual carriageway which is 327km and the longest in East and central Africa
Nyinyi endeleeni kujipiga kifua mtajikuta ni the poorest in Africa
 
Back
Top Bottom