game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,336
Boss , serikali hii haiwezi pata akili , mna waziri wa fedha mkora kupindukia, plus mama nae hajui hata kinachoendelea kwenye nchi anayoiongoza, actually mama uwezo ni wa kawaida sana upstairs. Plus viongozi wenu they don’t feel the pinch sababu hawatumii hiyo barabara wao wanasafiri kwa ndege ,Mimi nilishachoka kusema kabisa.
Hivi hio Barabara wanashindwa kuipanua at least each year Km 30 tu kwa pesa za ndani.
Hiv hela wanazopata wanazipeleka wap...mpaka waanza kulipisha watz kwenye Barabara muhimu kama hio? Tayari magari yana mikodi mikubwa na sasa bado watu walipe tena kutumia Barabara.
Na nakwambia hakuna mtu atawekeza kwenye hiyo Barabara huku akiona SGR iko pale na Barabara ya zamani ipo pale. Na naomba wasipatikane ili Serikali ipate akili
Unadhani ile B500 walitumia kununua mashangingi LC 300 new model ikiwa bado magari ya zamani wanayo si wangepeleka huku ?
Yaani ikiwa Daraja la Jangwani linachukua miaka nenda Rudi kushughulikiwa wala haishangazi kuona barabara ya Kibaha Morogoro inachukua miaka 10 mingine.