Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inakuja Victoria, mganda hana pesa ya kupeleka railway malaba na hawezi kopesheka sababu hawezi lipa, mganda hana bandari wala mzigo wowote wa maana wa kuwa na sgr, anategemea mzigo wa transit to DRC na Sudan ambao bado economic benefits zake kwa Uganda ni ndogo sana, mchina pia hawezi kuwapa ninyi pesa kwenda malaba sababu tayari anatoa pesa kwa Tanzania


View: https://x.com/MwangoCapital/status/1846130394766496102?t=-fX2e0fsWeUbzTPC5J_rCQ&s=19

Vipi kwani na nyie mchina kakubali kufikisha malaba?
 
Remember Kenya haijawaishindwa kulipa deni kama Tanzania. When talking about debts remember it's only Tanzania and Somalia ndio washaisamehewa deni hapa East Africa cause they couldn't pay.
Cha ajabu Kenya ndo haikopesheki
 
Yaan tunaweka tu dar-mwanza 40ft inakuwa USD 500, kwisha habar
TPA inabidi iongee na Uganda iwe ina run port bell terminal sisi tuwapelekee mizigo yao mpaka mlangoni mwao inakuwa no integrated service hakuna mganda kuja bandarini Dar kila kitu wayalipia hapo hapo port bell kwa local currency.

Ingekuwa hawa optimus wangeongea kama human controller wao aka mabwana zao vile wanataka 🤣🤣🤣
 
Saw this today in Ruiru. Last time I passed here there was no mall. Kenya is the capital of malls in Africa. Only South Africa have something on us.

1000366662.jpg
1000366661.jpg
 
TPA inabidi iongee na Uganda iwe ina run port bell terminal sisi tuwapelekee mizigo yao mpaka mlangoni mwao inakuwa no integrated service hakuna mganda kuja bandarini Dar kila kitu wayalipia hapo hapo port bell kwa local currency.
Ingekuwa hawa optimus wangeongea kama human controller wao aka mabwana zao vile wanataka 🤣🤣🤣
Yaan kawachana mpaka nikaona aibu. Wenzetu tu hapo kwa wamisri watezunguka
 
Wanaplan miradi mingi ila karibia nusu ya project zote hazikamiliki.
Hakuna miradi mipya zaidi ya majengo , kwa Sasa hata barabara mpya zinazoanza kujengwa unaweza Kuta hazifiki hata km 300 . Nasisitiza zinazojengwa

Kama wazungu wanavyosema, Cope harder. 😂
Your fishing village is seeing dust. 😂😂

Nairobi is legit playing Joburg, Cape Town league. Upende usipende.
 
Back
Top Bottom